Nani anayegharamia ujenzi wa daraja la Coco Beach? Kama taifa tumewekwa kwenye kapu la akili ndogo?

...
Tena unapaswa yajengwe mengi zaidi ijengwe freeways kutoka town inashukia tegeta yani ukilipia road toll unakanyaga speed inashukia Morocco then mwenge then tegeta hapo tinakuwa tumepunguza muda wa kulwenda na kutoka mjini.
Hili wazo lako linataka mtu mwenye maamuzi magumu na awe anapenda hayo madude, vinginevyo Watanzania watakuchamba sana.
 
Back
Top Bottom