Labda niwaulize wakuu wangu katika kuelezea kile ambacho nakiita ni "asili ya Ubepari" - the essence of Capitalism. Hivi ni kwanini makampuni ya kibepari ya Marekani na hata Uingereza na Ujerumaini yanajenga viwanda vya kuzalishia mazao yao kwenye nchi kama China, Mexico na nchi zinazoendelea? Ni kwa sababu wanataka kuzisaidia nchi hizo kuinua kiwango cha hali ya maisha ya watu wake? Au ni kitu gani hasa kinafanya makampuni hayo badala ya kujenga viwanda vingi nchini mwao ambako kuna tatizo la ajira wanaenda kujenga nje ya nchi zao?
Idea ya Free Market economy especially ktk micro level ni KuMaximize the Wealth of the Shareholders. Profits ndiyo goals. Makampuni ya Marekani kuinvest ktk hizo nchi ni kufuata profit kubwa kwa sababu hizo nchi ndizo zitakuwa na future market also kuna cheap labor.
Idea ya Ujamaa ni Equality? Distribution of wealth?
Pamoja na kwamba kuna matatizo ktk market economy kama vile greedy nk, lakini lazima ujue "FREE MARKET ECONOMY IS THE PATH TO PROSPERITY."