General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,867
- 2,198
Mtu akiwa hayupo na mkaanza kumuongea kwa jambo lolote liwe zuri au baya halafu nae akatokea, utackia watu wanasema nae huyo keshafika ana maisha marefu kweli.......hilo huwa lina ukweli wowote?