Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Thompson breed cat, not aggressive to humans.
Hapana..ni ZebraAcha maswali ya kitoto mkuu!
Si pundamilia huyo
Ina maana mi peke yangu ndio nnayeona Ngedere au?Acha maswali ya kitoto mkuu!
Si pundamilia huyo
Haaaaaaaa daah Uzi Kama utashanga unatembea haraka Sana kuliko mtu aleta bando juu ya kisonono, ebora n.kIna maana mi peke yangu ndio nnayeona Ngedere au?
Hapana..ni Zebra
Ina maana mi peke yangu ndio nnayeona Ngedere au?
Hapana! Ni Zahera!Ni kobe
Afu ngedere ndo anafanana na twiga eeh. huyo mbona kama punda kiongweNgedere ni mrefu sana,angalia vizuri
HahahahaHapana! Ni Zahera!
Afu ngedere ndo anafanana na twiga eeh. huyo mbona kama punda kiongwe
We jamaa kilaza kweli yaani umeshindwa kumtambua huyo paka? Tena nyumbani ninao wawili nawafugaDah!!!Jamii forum kuna Vilaza jamani... yaani mmeshindwa kabisa kumtambua Chatu dah!!!!