Nani anaweza akaniambia huyu ni mnyama gani..?

kumjua huyu mpaka uwe umesoma bording skuli anaitwa KUNGUNI huwa akiwa mdogo anakuwa na mapembe kama ya nyoka ila akikua yana potea anakua hana. mapembe kama chura..
 
Huyo ni Simba wa Yuda (Lion of Judah), ana tofauti kubwa na simba wa kawaida (lion), mtazame vizuri miguu yake ya nyuma ni mikubwa kuliko ya mbele tofauti na simba wa kawaida,, mkia wake unapindia kwenda upande mmoja, ana manyoya matabaka manne tofauti na simba wa kawaida na taya lake la chini ni kubwa kuliko la juu.
 
Scientifically tunamuita Giraffa camelopardalis tippelskirchii, pia Maasai giraffe, au Kilimanjaro giraffe

Kiswahili fasaha uyo in twiga dume
 
Back
Top Bottom