Nani anawaza au amewahi kuwaza?

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
22,918
2,000
Kama kuna mtu amewahi kuwaza kwenda kufafuta riziki nje ya nchi au amekwisha kwenda nje ya nchi hebu tupatie utofauti uliopo huko na huku kwenye hii nchi yetu.

Na kama unawaza kwenda nje ya nchi kufafuta riziki hebu pia tujuane mapema.

Natanguliza shukrani.
 

chipolopolo 2

JF-Expert Member
Nov 10, 2014
3,272
2,000
Kuna waliokwenda south Africa ngoja waje watuambie hali halisi Labda na Mimi ntaweza kujaribu kwenda kutafuta riziki huko majuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom