Nani anawatajia Google map majina ya maeneo na majengo mbalimbali?

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,369
Wakuu heri ya Christmas!

Naamini wengi wetu tumeshatumia hii App ya Google Map Mara kadhaa katika kujua ilipo sehemu fulani tusiyoijua au Jengo Fulani kama hoteli ,hospitali nakadhalika.

Kwa kiasi kikubwa imekuwa msaada hasa katika kutufikisha mahali ambapo pengine hatupajui au hatujawahi kufika kabisa licha ya kuwa na changamoto zake kadhaa kama kuelekezwa sehemu tofauti na uliyotarajia nk.

Ninachotaka kujua ni kwa namna gani hawa Google Map wanajua maeneo mengi kama sio yote kwa majina katika dunia hii ikiwemo kujua vitu kama ilipo Atm, hospitali shule na hata mitaa au jina la vijiji na barabara.

Najua wanafanya kwa msaada wa Satellite kupata ramani,lakini majina ya sehemu, vijiji,majengo na barabara wanajuaje?au nani anawapa?

Naomba kufahamishwa.

Ahsante
images.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni
Mapadri wanahusikaje?au ni waajiriwa wa google?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kazi Kama kazi zingine na wanaweza kusaidia maana wanna network kubwa Hadi vijijini ndani na wanayajua maeneo,
Tofauti na Hapo Kuna kampuni hupewa Tenda na wanapita kill sehemu kuchukua data za mitaa,sehemu muhimu etc,
As kwa Hapa hatujawai ona watu wanapita kuchukua majina ya mitaa etc,
Rahisi Sana kwa mabruda kufanya hiyo kazi maana wao ndo hupita pita chocho zote
 
Wanahakiki vipi ukweli wa hizo taarifa ili wasidanganywe

Sent using Jamii Forums mobile app
Wana kawaida ya kuangalia na kulinganisha taarifa, mf wewe umeenda sehemu x labda ni hotel Z, wakaukuuliza maswali kadhaa, ukajibu, next time user mwingine naye ataulizwa maswali kama uliyoulizwa, watalinganisha majibu na kupata jibu sahihi,

Kiufupi Google maps inaboreshwa na sisi wenyewe users, kwa sasa nadhan hata Ile map service ya I Phone haioni ndani google maps kwa details

Hofu yangu kubwa ni kuwa jamaa Wanatupa addiction kiasi kwamba kuna siku watazingua na tutakuwa hatuna jinsi ya kufanya mambo kiufanisi, Google maps contacts, drive photo nk. Taratibu vinatuingia damuni na ni ngumu kuviepuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok nashukuru,ila itakuwa ni kazi ya kila Mara sasa maana kila Siku kuna kitu kinaongezeka au kupungua mfano majengo
na kama hukodi kampuni gharama za kuendesha si zitakuwa kubwa sana?

Back
Top Bottom