Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 11,634
- 26,373
Wakuu heri ya Christmas!
Naamini wengi wetu tumeshatumia hii App ya Google Map Mara kadhaa katika kujua ilipo sehemu fulani tusiyoijua au Jengo Fulani kama hoteli ,hospitali nakadhalika.
Kwa kiasi kikubwa imekuwa msaada hasa katika kutufikisha mahali ambapo pengine hatupajui au hatujawahi kufika kabisa licha ya kuwa na changamoto zake kadhaa kama kuelekezwa sehemu tofauti na uliyotarajia nk.
Ninachotaka kujua ni kwa namna gani hawa Google Map wanajua maeneo mengi kama sio yote kwa majina katika dunia hii ikiwemo kujua vitu kama ilipo Atm, hospitali shule na hata mitaa au jina la vijiji na barabara.
Najua wanafanya kwa msaada wa Satellite kupata ramani,lakini majina ya sehemu, vijiji,majengo na barabara wanajuaje?au nani anawapa?
Naomba kufahamishwa.
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app