Nani anawatajia Google map majina ya maeneo na majengo mbalimbali?

Wakuu heri ya Christmas!

Naamini wengi wetu tumeshatumia hii App ya Google Map Mara kadhaa katika kujua ilipo sehemu fulani tusiyoijua au Jengo Fulani kama hoteli ,hospitali nakadhalika.

Kwa kiasi kikubwa imekuwa msaada hasa katika kutufikisha mahali ambapo pengine hatupajui au hatujawahi kufika kabisa licha ya kuwa na changamoto zake kadhaa kama kuelekezwa sehemu tofauti na uliyotarajia nk.

Ninachotaka kujua ni kwa namna gani hawa Google Map wanajua maeneo mengi kama sio yote kwa majina katika dunia hii ikiwemo kujua vitu kama ilipo Atm, hospitali shule na hata mitaa au jina la vijiji na barabara.

Najua wanafanya kwa msaada wa Satellite kupata ramani,lakini majina ya sehemu, vijiji,majengo na barabara wanajuaje?au nani anawapa?

Naomba kufahamishwa.

AhsanteView attachment 1304328

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanaitwa Local Guides, hawa ni watumiaji wa Google Maps ambao wamekubali kusaidia kuboresha taarifa hususan kwenye maeneo wanayoishi na kutembelea mara kwa mara, mimi ni mmoja wapo na hao local guides na kazi hiyo haina Malipo yoyote, hata wewe ukitaka unaweza kusaidia kuboresha hiyo huduma kwa ku enable hiyo feature kwenye App ya Google Maps

Asante kwa kunifahamisha na hongera kwa kuendelea kusaidia,vipi kule vijijini kabisa ambapo pengine hakuna wa kuingia kwenye mitandao kusaidia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu pekee ambacho kinampa jeuri google ni Youtube. Hii kitu sijui kama kuna mtu atakuja kucompete nayo siku moja. Hivi vingine wala siyo shida sana.
Wana kawaida ya kuangalia na kulinganisha taarifa, mf wewe umeenda sehemu x labda ni hotel Z, wakaukuuliza maswali kadhaa, ukajibu, next time user mwingine naye ataulizwa maswali kama uliyoulizwa, watalinganisha majibu na kupata jibu sahihi,

Kiufupi Google maps inaboreshwa na sisi wenyewe users, kwa sasa nadhan hata Ile map service ya I Phone haioni ndani google maps kwa details

Hofu yangu kubwa ni kuwa jamaa Wanatupa addiction kiasi kwamba kuna siku watazingua na tutakuwa hatuna jinsi ya kufanya mambo kiufanisi, Google maps contacts, drive photo nk. Taratibu vinatuingia damuni na ni ngumu kuviepuka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu pekee ambacho kinampa jeuri google ni Youtube. Hii kitu sijui kama kuna mtu atakuja kucompete nayo siku moja. Hivi vingine wala siyo shida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia jinsi iPhone map service ilivyo shallow kwenye details, hasa kwa nchi za huku afrika, utakubali kuwa Google yupo mbali sana, details za Google zipo hadi level ya vijiji kwa sasa

Waboreshe Maeneo ya Ifakara, Mahenge vijijini taarifa hakuna kabisa naona wanaishia hapo faraja la kilombero tu.
 
Wakuu heri ya Christmas!

Naamini wengi wetu tumeshatumia hii App ya Google Map Mara kadhaa katika kujua ilipo sehemu fulani tusiyoijua au Jengo Fulani kama hoteli ,hospitali nakadhalika.

Kwa kiasi kikubwa imekuwa msaada hasa katika kutufikisha mahali ambapo pengine hatupajui au hatujawahi kufika kabisa licha ya kuwa na changamoto zake kadhaa kama kuelekezwa sehemu tofauti na uliyotarajia nk.

Ninachotaka kujua ni kwa namna gani hawa Google Map wanajua maeneo mengi kama sio yote kwa majina katika dunia hii ikiwemo kujua vitu kama ilipo Atm, hospitali shule na hata mitaa au jina la vijiji na barabara.

Najua wanafanya kwa msaada wa Satellite kupata ramani,lakini majina ya sehemu, vijiji,majengo na barabara wanajuaje?au nani anawapa?

Naomba kufahamishwa.

AhsanteView attachment 1304328

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna kitu kinaitwa Google business
 
Back
Top Bottom