Nani anawafahamu wauza mgari hawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anawafahamu wauza mgari hawa?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by bank, Sep 29, 2011.

 1. bank

  bank Senior Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
 2. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  duh. ni kama tulikuwa wote leo mkuu...nimekuwa nikiangaika kuwafatilia leo hii bila mafanikio isipokuwa jambo moja ambalo sikuweza lielewa katika website yao. Si lingine bali ni swala zima la bei zao walizo bandika, kuna ambazo wameandika duty paid,na duty not paid na nyingine hawakuandika kabisa,. Sijui japo naamini tutapata jibu,humu tuko wengi, hapata kosa neno
   
 3. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,316
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ndio janja ya kutangaza link zenu humu JF,ndio ule mtindo wa kuuliza kitu na kujijibu kwa ID nyingine.hakuna moderator awe anazuia hizi thread?!!
   
 4. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hawa Cheki wanatia shaka, hakuna bei kama hizo Tanzania!
   
 5. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  I have just gone through the website. hakika iko poa sana.

  lakini mbona hakuna hata contacts? I would really like to visit them. naona wanauza magari used Tanzania na Used japan.

  I gues hizi bei zao haziko updated na current market price after changes on taxations
   
 6. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Cha ajabu ni kwamba ukijaribu kum contact seller unachoambulia ni outomated email yenye maelezo kama haya tu kwisha Safe Buying & Selling - Cheki Tanzania cheki.co.tz - Buy Used Cars, Buy New Cars, Sell a Car, Find a Car Dealer and Dealerships in Tanzania
   
 7. Bejajunior

  Bejajunior Senior Member

  #7
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
 8. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimwenyewe ni mdau wa iyo site ila inatia moyo sana ukiangalia na wewe unaweza miliki gari ila minazani hao jamaa ni wezi hata gari wanazotangaza za hapa bongo hakuna jina wala contact za muuzaji.
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Minaona kama wako juu tu kwa bei,
  Othrwise labda sijaelewa bei zinahisisha nin,
  Haiwezekani gari kama Vitz iwe 7mil halafu hapo Duty not paid then unasema ni bei rahisi
   
 10. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kama umewahi kuagiza gari you will tell me kwamba wako cheap sana
   
 11. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Mimi niliwalisiliana nao, kuna sehemu imeandikwa contact seller,ukibofya pale ndo kuna sehemu unatakiwa kuandika email yako na namba yako ya simu,then seller atakupigia,mm walinipigia kweli ila sikununua gari kwao. sio wabaya wanajitahidi.
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,576
  Trophy Points: 280
  nikuuzie markII yangu
   
 13. p

  peter mashaka Member

  #13
  Oct 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sh ngapi? ya mwaka gani? fuel consumption? km?
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Jamani hangaikeni kooooooooooooote msije mkaagiza gari kutoka hii kampuni tafadhali: <a href="http://www.41export.com" target="_blank">Impreza Used Cars 41export.com</a>. Jamaa huyu ni tapeli mkubwa, wengi wamelizwa na hii kampuni ya kijapani. Sasa hivi anawatumia watanzania walioko huko japan ili ku win confidence ya watanzania wanaoagiza kutokea huku Bongo, ukishatuma hela hakujibu tena inakuwa ndo imetoka hiyo. Mie nimelizwa dola 2,900 na hii kampuni sina hamu wakuu.
   
 15. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Nliagiza Mazda Demio ya Mwaka 2002 last two months,
  Mpaka kufika hapa na kila kitu ilinigharimu 6.6mil
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,576
  Trophy Points: 280
  06550008009 tutawasiliana.
   
 17. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  teh teh teh
   
 18. l

  luckman JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  wezi hao, hiyo bei ni danganya toto, watu wanalia shauri yenu!
   
 19. bank

  bank Senior Member

  #19
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  NASHUKURU KWA MICHANGO YENU wote.Maana sasa nimeamua nitafute hela za kutosha niingie yadi za hapa kwetu maana hela nyingine za kuokoteza
  ukitapeliwa da.
   
 20. J

  Json Swag Member

  #20
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Toyota cami
   
Loading...