Nani anawadanganya pesa ndio kila kitu?

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Unaweza kuwa na pesa alafu ukawa na kisukari au shinikizo la damu, vyakula vizuri kama burger, keki, pizza utakula kwa macho.

Viatu vikali utashindwa kuvaa ukiogopa kuchubuka na kupata vidonda mguu ukatwe,utashinda na yebo yebo kutwa nzima mpaka ofisini.

Ukiumwa na chochote Malaria, Ukimwi nk mate yanakuwa machungu, hamu ya kula inapotea hata biriani utaliona chungu.

Ukiendekeza kubana na kutafuta hela ukajisahau utaishia kupata vidonda vya tumbo.

Ishu hapa sio kutokula, tatizo ni kula ili mradi umekula siku ipite au kutokula kabisa usave hela utajirike.

Chanzo cha magonjwa mengi kama kisukari na shinikizo la damu ni kuishi maisha yasio na mpangilio katika ulaji, unakula ili mradi umekula unathamini pesa kuliko afya.

Kwa maisha hayo, matokeo yake wengi wetu hujikuta tumeshapata magonjwa hayo wakati pesa ndio zimeingia, unaishia kusikitika huwezi kuzitumia.

Linda afya yako kwenye harakati zako za kutafuta pesa. Afya ndio kila kitu.
 
Kwani ukiwa huna pesa hayo magonjwa yanakuogopa ?
Hili la kusema eti ukiwa na pesa ndipo magonjwa kama kisukari, presha na mengine kama hayo halina uhalisia, huenda lilikuwa na ukweli miaka ya nyuma!
Sasa hivi kuna watu hawana hata mia, ila nawashuhudia wakiumwa kisukari, presha n.k!
Hili swala la magonjwa halina mwenye hela wala asiye na hela, ni mtu mwenyewe tu, siyo kwamba watu wasio na hela hawaumwi kisukari au presha. Au eti wenye hela, magonjwa kama presha n.k ni ndugu.
Tukirudi kwenye hoja ya hela ni kila kitu, mimi naungana na wale wanaosema hela ni kila kitu!
Maana sote tunapiga kufa na kupona ili tuwe na majumba, magari, tukatoe sadaka kanisani, tuvae vizuri, tule vizuri, tusomeshe watoto n.k, yote hayo yanahitaji hela.
 
Kuna siku nilikuwa nina M4.7 ndani nikiwa msela, niliteseka sana kwa kutokuwa na mwandani nikikesha kuangalia paa alipopatia fundi na kukosea mnara wa maangamizi ukisoma 5G.

Nikimpigia simu Mwajuma ndala papa na ngulu hapokei simu, Amina mcharuko naye full maringo, 02:00 usiku wa manane nilienda Big Bone kununua madanguro yangu ma3 nikamalizana nayo kwa 150,000/= nikarudi home mwepesiiii...

Pesa siyo kila kitu naunga "mkonyo" hoja
 
Unaweza kuwa na pesa alafu ukawa na kisukari au shinikizo la damu, vyakula vizuri kama burger, keki, pizza utakula kwa macho.

Viatu vikali utashindwa kuvaa ukiogopa kuchubuka na kupata vidonda mguu ukatwe,utashinda na yebo yebo kutwa nzima mpaka ofisini.

Ukiumwa na chochote Malaria, Ukimwi nk mate yanakuwa machungu, hamu ya kula inapotea hata biriani utaliona chungu.

Ukiendekeza kubana na kutafuta hela ukajisahau utaishia kupata vidonda vya tumbo.

Ishu hapa sio kutokula, tatizo ni kula ili mradi umekula siku ipite au kutokula kabisa usave hela utajirike.

Chanzo cha magonjwa mengi kama kisukari na shinikizo la damu ni kuishi maisha yasio na mpangilio katika ulaji, unakula ili mradi umekula unathamini pesa kuliko afya.

Kwa maisha hayo, matokeo yake wengi wetu hujikuta tumeshapata magonjwa hayo wakati pesa ndio zimeingia, unaishia kusikitika huwezi kuzitumia.

Linda afya yako kwenye harakati zako za kutafuta pesa. Afya ndio kila kitu.

Alisikika jamaa mmoja asiye na pesa akijifariji
 
Labda mkuu aorodheshe list ya vitu/Mambo ambayo mtu asiye na hela anaweza fanya na kwenye nazo hawezi...

List things that a broke can enjoyingly do, a rich can't....
 
Kuna siku nilikuwa nina M4.7 ndani nikiwa msela, niliteseka sana kwa kutokuwa na mwandani nikikesha kuangalia paa alipopatia fundi na kukosea mnara wa maangamizi ukisoma 5G.

Nikimpigia simu Mwajuma ndala papa na ngulu hapokei simu, Amina mcharuko naye full maringo, 02:00 usiku wa manane nilienda Big Bone kununua madanguro yangu ma3 nikamalizana nayo kwa 150,000/= nikarudi home mwepesiiii...

Pesa siyo kila kitu naunga "mkonyo" hoja

Wanwake watatu???
 
Wanasema tajiri hawezi kupata kila kitu kwa pesa zake ila maskini hawezi kupata chochote maana hana pesa..

Raha ya maskini na tajiri kikawaida ni kilevi na uzinzi epic, vyote vinafanana ila havipo sawa hivyo, tuache kujifariji UMASKINI NI MBAYA
 
Za kutosha ni ngapi? Sidhani kama kuna mtu amewahi kuwa na hela za kutosha.
Wapo wewe wakina Billgate hata aamue kulala tu mpaka anakufa zitabaki atakuwa nazo mwanae nayeye hata asifanye kazi mpaka anakufa iyo inaweza Circle vizazi 20 nahaziishi.

Sasa unaposema hicho sijui unamaanisha nini najua utaleta hoja kwanini bado anafanya kazi.
 
Huyu mleta uzi hajui kwamba unaweza kukosa pesa na ukawa na maradhi tele.
Matatizo madogomadogo ukashindwa kutatua sababu ya ufukara.

PESA MUHIMU MNOOO!
Ukipita vijijini kule unaweza kulia; unakuta mtu ana magonjwa, pesa hana na hata nguvu za kulima au kufanya kazi hana. Life zima ni IMPOSSIBLE lakini tajiri hata akiumwa bado anaweza afford hospitali nzuri na huduma yoyote anayoitaka.
 
Back
Top Bottom