Karibuni masijala
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 409
- 135
Wanabodi, Mwanasheria Mkuu Jaji Werema katika kujibu hoja za Mhe Mbunge na Wakili wa Mahakama kuu Tundu alisema kichwa si cha kufugia nywele tu bali ni kwa ajili ya kufikiria. Je baada ya Kauli hiyo utendaji wao kwenye nafasi walizopewa nani anatumia kichwa kufikiri na sio kufuga nywele tu. Kabla na hata baada ya shughuli za mbunge kuhairishwa utendaji wao. TUNDU LISU: Kuthibitishia kamati ya Bunge utaratibu wa Rais wa majaji umesababisha majaji vihiyo kuteuliwa, kutokubali waziri kuunda tume kuchunguza kifo cha mwandishi wa habari na sio kamati kama za harusi kufanya, kuchambua Muungano wetu na serikali ya maridhiano ilivyokiuka katiba, kujenga hoja za katiba mpaka Rais akakubali kufanyia marwkebisho sheria aliyopitisha muda mfupi ya katiba mpya, Rais kutamka heri Slaa awe rais kuliko mhe. Mbunge kushinda uchaguzi wakati wa kutafuta ridhaa ya kupanga magogoni. Jenga hoja kukubali au kukataa, kukosoa na hata kuongeza nyingine AU Mwanasheria na Jaji kutoa ushauri kwa shughuli za Serikali kuingia mikataba, kujibu hoja za bunge zilizomhitaji kuzijibu, karibuni wanajamvi,