Nani Anasubiriwa?

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,348
557
Naomba kuuliza,
Tumekuwa tukisema kila siku hapa JF kuwa sheria ichukue mkondo wake,sijui paka afungwe keengele,nk.
Je ni chombo gani katika serikali yetu tukufu kinachotakiwa kuanza kazi ya kupokea shutuma, kuzichunguza, kuzutathmini na kutoa uamuzi wa kisheria?
Je tukiulize chombo gani?
Kama vile kupokea malalamiko: ni wizara(waziri), ni jeshi(mkuu wa polisi nk) ni ofisi ya rais (katibu mkuu), ni ofisi ya waziri mkuu(katibu mkuu), ni ofisi ya makamu wa rais(katibu mkuu), au ni bunge(spika), au ni mwanasheria mkuu na ofisi yake?
Je wanataka wapelekewe tuhuma hizi na nani? kwa njia gani?
Je mhusika ameshapokea malalamiko haya? je ameshaanza kuyafanyi kazi?
Je tunaruhusiwa kupata tathmini yake?
Je ripoti anapeleka wapi? Kwa ajili ya kufanyiwa nini?(uamuzi wa kisheria au kueditiwa tena zaidi?)

Nitashukuru kwa kupewa mwanga
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom