Nani anastaili kuwa rais wetu ajaye nchini ? Tutafakari sasa,siyo baadaye !

Watz toka 2005 waliisha amua rais wao dr.slaa kupitia cdm. Kuendelea kuwauliza watz ni kuwapotezea muda
 
Naomba sote,tuwachambue kwa uwazi bila ushabiki;wale wote tunatarajia watakuwa ni wagombea urais kupitia vyama vyao kama kweli wanastahili kuwa rais kipindi kijacho.Wana JF, tunaweza kabisa kupitia jamvi hili, kuwasaidia watanzania wenzetu kumpata Rais anastahili kuwaongoza watu kwenye mabonde na milima iliyojaa maziwa na asali.Tuanze majina kama Lipumba,Ndugai,Slaa,Lowasa,na wengine wengi.

Rais:MWAKYEMBE
Prime minister:pOMBE MAGUFULI
Vice prez: Cheo hiki kifutwe bcse hakuna sababu ya kuwa na VC at the same time uwe na PM.
Hayo majembe mawili yanatosha kuinyoosha bongo
 
Kiongozi,Kuwauliza watanzania ni Rais gani anastahili si kupotezeana muda;bali ni wakati muafaka sasa kuwatafakari kwa muda wa kutosha tusije tukapata Rais Bomu kama Nduli Idd Amin ! Ni vema tukaelezana watz,kwa nini fulani anastahili kuwa Rais na si fulani;iwe ni SLAA;MAGUFULI;RIDHIWANI;ZITTO;KARUME;MWAKYEMBE;LOWASA;TIBAIJUKA;na wengine watakaotangaza nia ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Asante,nawakilisha wakuu.
 
Back
Top Bottom