Bwana Douglas tutarajie mapambio na hongera nyingi sana kutoka kwa politicians kwa hili hapa...kama yuko nje watajipanga airport kumpokea (unafik na ubinafsi) hata kama hawakumjua wala kusoma kazi zake kabla....I said we should not focus on a political arena katika Nobel Price....
Viva Tanzania Hongera sana kwake.
Katuheshimisha kuliko.
View attachment 1967184
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Subiri utaona tu watakavyokurupuka. Huonagi hata wachezaji michezo or anybody that shines wenye uraia wa mbele walioikana bongo wanavyowasilolimisha Kwa lazima kuwa ni wakwetu wana asili yetu kwa ivo tuwapongeze tu.Huyu si Mtanzania alishaukana miaka mingi na kuchukua uraia wa UK. Anaingia nchini kwa kutumia visa kama mgeni.
Subiri utaona tu watakavyokurupuka. Huonagi hata wachezaji michezo or anybody that shines wenye uraia wa mbele walioikana bongo wanavyowasilolimisha Kwa lazima kuwa ni wakwetu wana asili yetu kwa ivo tuwapongeze tu.
NB uraia pacha is a thing
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Viongozi wa Tanzania wengi ni makimaWameshakurupuka Mkuu sijui Wizara ya utamaduni imeshamtumia hongera kama Mtanzania sasa Wabongo wanawaambia mpeni zawadi ya uDC kitu ambacho hawawezi kufanya maana inahusu kubadili katiba na katiba huwa hawataki kuigusa kwenye mambo wao HAWAFAIDIKI ila kama wanafaidika basi hawakawii kufanya mabadiliko.
Siyo kwamba vita vya Kagera vilisababishwa na uvamizi wa Nduli na siyo urafiki wa Mwl na Obote:-Tanzania hakuna kiongozi anayefaa kutunukiwa tuzo ya Nobel kwani wana mengi ya kusontewa kidole kuliko kuenziwa.
Nyerere ndiye aliyeweka msingi mbovu ambao ndio umesababisha hii nchi kuwa masikini hadi leo kwa kuleta mfumo mbovu wa ujamaa akiifanya Tanzania kuwa maabara ya kujaribishia itikadi za kigeni.
Alifuta mfumo wa vyama vingi na kuleta mfumo wa udikteta wa chama kimoja na kuweka sheria ya kuweka watu kizuizini bila ya kuwafikisha mahakamani. Akatuingiza kwenye vita vya kijinga na Uganda kwa ajili ya rafiki yake Obote.
Nimechoka kwa sasa, nitawachambua hao wengine baadaye.
Nobel hutolewa kwa mtu aliye hai tu. Leo hii Nyerere ana vigezo vya kuipata lakini anakosa sifa kwa vile hayuko hai. Mawazo ya Nyerere ya wakati huo yalikuwa hayakubaili nchi za Magharabi; lakini leo hii yanakubalika wakati yeye mwenyewe hayupo kuyazungumzia. Hasa hili swala la uhuru na kujitegemea!
Order | Country | Year | |
Order of the Golden Heart of Kenya (Chief) | Kenya | 2005 | |
Order of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere | Tanzania | 2011 |
University | Country | Degree | Year |
Sōka University | Japan | Honorary degree | 1998 |
Morehouse College | United States | Honorary degree | 1999 |
Open University of Tanzania | Tanzania | Honorary degree | 2003 |
National University of Lesotho | Lesotho | Doctor of Law | 2005 |
Kenyatta University | Kenya | Doctor of Education | 2005 |
University of Dar es Salaam | Tanzania | Honorary degree | 2006 |
Newcastle University | United Kingdom | Doctor of Civil Law | 2007 |
University of Cape Coast | Ghana | Doctor of Letters | 2008 |
Makerere University | Uganda | Doctor of Law | 2009 |
MWENYE NCHI YAKE MBONA ANAJULIKANA KIPENZI MZALENDO wa KWELI KAFA MASIKINI KWA AJILI YA WATU WAKE hakujilimbikizia Mali hakuna na Hisa wala Majumba ya kifahariTuzo ya kimataifa ya Nobel iliyoanzishwa na Bw Alfred Bernhard Nobel, Mswidi mbobezi wa kemia, uhandisi, mvumbuzi, mjasiriamali na mdiakonia (matendo ya huruma (philanthropist)) imetoa tuzo hiyo kwa Wanafizikia watatu kwa mpigo.
Swali:
Katika safu ya marais 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unadhani nani kati yao angeweza kustahili tuzo hiyo maarufu?
Kwa sababu zipi?
Kwanini imeshindikana?
Afrika Kusini wana Laureate 3, Liberia 2, DR Congo 1, Ethiopia 1, Kenya 1, Tanzania tumekwama wapi na juhudi zote nzuri za #AMANI YA NCHI, #ULINZI WA AMANI YA DUNIA, #UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA, #MIUNDOMBINU BORA, #MUUNGANO WA PEKEE DUNIANI, #OAU, #KUANZISHWA KWA NON ALIGNED MOVEMENT, #SOUTH SOUTH COMMISSION, #SADC, #EAC, na mengine mengi mazuri kimataifa. Ni Mwl. Nyerere ndiye aliingiza China kwenye kundi la mataifa yenye kura ya turufu katika Umoja wa Mataifa. Aidha alikuwa mmoja wa washauri wa Malkia wa Uingereza lakini hata tuzo ya heshima ya juu Uingereza ya "Sir" hakuwahi kuipewa. Naomba nikope maneno ya Paulo Mtume aliyeuliza hivi "Enyi Wagalatia mmerogwa na nani? Wagalatia.3:1"
Yote hayo na mengine mengi mazuri ya Tz bado Kamati ya Nobel haizioni tu?
Angalizo:
Changia mawazo yako kwa kutuonyesha hekima na busara zako ili tufaidike na maarifa yako, usichangie jazba za kuonyesha kejeli, dharau na matusi, utakuwa umetunyima maarifa yako.
Wakianza kupewa mafisadi JK anastahiliMh Kikwete hii tuzo anachukua mwaka 2024 kila kitu kipo kwenye makaratasi
Secret zone
Kwa lipi?Ally Hassan Mwinyi
Huenda hujui kuwa uhuru wa kusini mwa Afrika ulisababishwa na mawazo ya Nyerere. Peace prize haifuati mawazo ya itikidi bali impact kwa maisha ya watu wengi, na kikawaida hutolewa baada ya muda mrefu kuona impact ya mawazo hayo. Ni wachache miaka ya hivi karibuni walioipata baada ya kip[indi kifupi: Malala,Obama na Al-Gore lakini hutolewa si chini ya miaka kumi.nyerere alikua kiongozi wa ovyo mno, mawazo yake gani yanayokubalika? Ujamaa? au huu muungano unaoelekea kukata pumzi?
Baada ya Amin kunyakua madaraka nchini Uganda mwaka 1971, kulikuwa kukitokea "frequent border incursions" kwenye mpaka wa Tanzania na Uganda zikifanywa na majeshi ya Obote yaliyokimbilia Tanzania mara tu baada ya Obote kupinduliwa na Amin, majeshi hayo ya Obote yalikuwa pale Tabora.Siyo kwamba vita vya Kagera vilisababishwa na uvamizi wa Nduli na siyo urafiki wa Mwl na Obote:-
1) 1971 Nduli alishambulia mji wa Mwanza. Mwl akawa mvumilivu hakujibu, Nduli akaona kwamba Mwl hamuwezi, akatangaza kwamba baada ya Mwanza sasa anaingia hadi Dar es Salaam.
2) 1979 akavamia Kagera, akapiga, na kusogeza mpaka wa Uganda ndani ya Tz. Ungekuwa Mwl tuelimishe ungechukuwa hatua gani labda?
Taswira zote kwa hisani ya google.
Afrika na hizi sera za figisufigisu, rushwa, ufisadi, Utawala mbofumbofu haiwezi kutoa mshindi halali wa tuzo ya Nobel, hata kidogo! Angalia walikurupuka kumpa Waziri mkuu wa Ethiopia Ahmed Abiy tuzo ya Nobel angalia Hana hata miaka 5 madarakani huyo anaendesha mauaji ya kumbari Kule Tigray, kaskazini mwa Ethiopia, anajua raia wake mwenyewe kama Mwendakuzimu!Tuzo ya kimataifa ya Nobel iliyoanzishwa na Bw Alfred Bernhard Nobel, Mswidi mbobezi wa kemia, uhandisi, mvumbuzi, mjasiriamali na mdiakonia (matendo ya huruma (philanthropist)) imetoa tuzo hiyo kwa Wanafizikia watatu kwa mpigo.
Swali:
Katika safu ya marais 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unadhani nani kati yao angeweza kustahili tuzo hiyo maarufu?
Kwa sababu zipi?
Kwanini imeshindikana?
Afrika Kusini wana Laureate 3, Liberia 2, DR Congo 1, Ethiopia 1, Kenya 1, Tanzania tumekwama wapi na juhudi zote nzuri za #AMANI YA NCHI, #ULINZI WA AMANI YA DUNIA, #UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA, #MIUNDOMBINU BORA, #MUUNGANO WA PEKEE DUNIANI, #OAU, #KUANZISHWA KWA NON ALIGNED MOVEMENT, #SOUTH SOUTH COMMISSION, #SADC, #EAC, na mengine mengi mazuri kimataifa. Ni Mwl. Nyerere ndiye aliingiza China kwenye kundi la mataifa yenye kura ya turufu katika Umoja wa Mataifa. Aidha alikuwa mmoja wa washauri wa Malkia wa Uingereza lakini hata tuzo ya heshima ya juu Uingereza ya "Sir" hakuwahi kuipewa. Naomba nikope maneno ya Paulo Mtume aliyeuliza hivi "Enyi Wagalatia mmerogwa na nani? Wagalatia.3:1"
Yote hayo na mengine mengi mazuri ya Tz bado Kamati ya Nobel haizioni tu?
Angalizo:
Changia mawazo yako kwa kutuonyesha hekima na busara zako ili tufaidike na maarifa yako, usichangie jazba za kuonyesha kejeli, dharau na matusi, utakuwa umetunyima maarifa yako.
Tuzo ya kimataifa ya Nobel iliyoanzishwa na Bw Alfred Bernhard Nobel, Mswidi mbobezi wa kemia, uhandisi, mvumbuzi, mjasiriamali na mdiakonia (matendo ya huruma (philanthropist)) imetoa tuzo hiyo kwa Wanafizikia watatu kwa mpigo.