Nani anasimamia Usalama wa Abiria wa gari la Matangazo?

Nyakua nyakitita

Senior Member
Apr 14, 2014
193
43
Unakuta Canter ya matangazo nyuma IPO wwazi kuna nguzo 4 tu za kubeba roof yenye Spika,lakini imepakia wakina dadadada/tubinti kibao tunacheza mziki tukiwa tumeshikilia nguzoo moja.Spidi ya Gari hiyo ni 20-50Km/h hivi hawa wako salama kiasi gain.Hapo hilo linaachwa lipite huku lingine la waliokaa wanashikwa kosa kutovaa mkanda,wadau imekaaje hii?
 
Unakuta Canter ya matangazo nyuma IPO wwazi kuna nguzo 4 tu za kubeba roof yenye Spika,lakini imepakia wakina dadadada/tubinti kibao tunacheza mziki tukiwa tumeshikilia nguzo moja.Spidi ya Gari hiyo ni 20-50Km/h hivi hawa wako salama kiasi gain.Hapo hilo linaachwa lipite huku lingine la waliokaa wanashikwa kosa kutovaa mkanda,wadau imekaaje? Hii

Wangelifunika ungeonaje huto tubinti?
 
Back
Top Bottom