Erick_Otieno
JF-Expert Member
- Mar 28, 2010
- 624
- 1,020
nakumbuka system hii hii ya nhc ndo ilipelekea kutokea kwa financial crisis in US
Mkuu ni system ipi hiyo utujuze?
nakumbuka system hii hii ya nhc ndo ilipelekea kutokea kwa financial crisis in US
Mkuu ni system ipi hiyo utujuze?
Tafuta documentary inaitwa INSIDE JOB 2010..inshort watu walikua wanatamani kumiliki nyumba ila hawezi ku afford because it's expensive(kama ilivo saivi uku tz)...mabenki yakaanza kutoa mikopo ya nyumba (house mortgages) yenye low interest rates..kila mtu alikimbilia because ni rahisi compared to mikopo ya kawaida..what happened kila mtu akaona ni dili...so investors and lenders wakainvest a lot of money in the business wakiamini NYUMBA ZITAZIDI KUPANDA THAMANI KILA SIKU...hata wamiliki wa nyumba wakaanza kuuza mikopo yao kisha kuchukua mingine kwasababu bei inazidi kupanda everyday...bei za nyumba zilipoanza kushuka ndo ikawa kasheshe unakuta mtu anamikopo mitatu ambayo hata hawezi kuilipa tena at the same time gharama za mkopo zinazidi kupanda..investors na mabenki yakaanza kufilisika because watu wameshindwa kurudisha mikopo na bei z nyumba zimeshuka...hata wakiamua kuforeclose bado awawezi rudisha pesa walioinvest..so that's what happend..tafuta iyo documentary utaelewa zaidi
Apartments za Ubungo nimeona kwene magazeti ya leo wanaziuza ila cha ajabu hawasemi ni kwa sh.ngapi.
National Housing Corporation haipo kwa kunufaisha watu wa kipato cha chini bali watu wenye uwezo kifedha kwani wao wapo zaidi kibiashara kuliko kutoa huduma[ charitable organization]. Inashangaza kuona kuwa bado nyumba wanazojenga hazizingatii mambo yanayosumbua hapa nchini ; mfano ni jinsi ambavyo nyumba hizi sio energy efficient tukizingatia jinsi nishati ya umeme inavyosumbua hapa nchini!! Bado wanajenga mabox badala ya kujenga nyumba zitakazoingiza hewa nyingi hivyo kuondoa umuhimu wa kutukia air-conditioning hence reduction in the use of electricity!!!
Experince ya National Housing niliipata wakati naanza maisha nikawa natafuta nyumba ya kupanga kwenye shirika hilo, nilipokwenda kwenye ofisi zao wakaniambia kwasasa hatuna nyumba lakini kama utaona kuna mtu anahama kwenye nyumba zetu njoo mara moja tuambie halafu tutakupatia! mpaka leo ni mwaka wa 10 sijapata kuona mtu amehama kwenye nyumba hizo na bado naishi kwenye nyumba za Tembe kama ID yangu inavyonekana hapo kushoto.
NHC mapumbavu tu....sijui hiyo business plan nani aliwaandikia....nani anunue ujinga huo?Niache kujenga nyumba yangu ya 30mil ikiwa full hadi garden napata.....majinga kweli haya,sometimes nashindwa kuyaelewa.....hata hao matajiri hawatanunua,wazipeleke wapi?labda uniambie kuna mchongo wa kuwapiga NHC hao baada ya kulipa 8mil then kuna jinsi ya kuwachomoka na apartment ukala na kikazi unachofanya ukapiga chini,makato hamna.....kama kuna uwezekano wa kuwapiga ndio nitakua interested,otherwise tupa kule upuuzi huo!
Kuna siku nilimwaona kwenye TV huyo jamaa wa NHC na wenzake eti wanasema watanzania tuamke, eti huo mpango wao sasa ndio 'the big idea', suluhisho la ukosefu wa nyumba kwa watanzania! Kwa hiyo sote tulichangamkie. Wapi bwana! wapi? Uhuni tu! tena uongo usio na aibu kabisa.