Nani anasema nyumba za shirika la nyumba ni za watu wa kima cha chini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anasema nyumba za shirika la nyumba ni za watu wa kima cha chini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Captain22, Sep 25, 2011.

 1. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Sote tunatambua kuwa maisha ni nyumba. Nilipo sikia na kuona NHC wanajenga nyumba za kuuza nikafurahi. Sasa furaha yangu imepotea baada ya kupata tetesi kuwa wanauza 99M VAT EXCLUSIVE!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  waache waendeleze ujinga wao

  hii industry haijapata watu bado

  but trust me,unaweza kuuza nyumba kwa milioni 40 na nyumba za quality kuliko za nhc

  we ngoja....
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nyumba gani hizo miln 40?
  Inflation inazidi kuongezeka..cost of living inakuwa juu..40m ni bei ya kiwanja..
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mimi nina uwezo wa kukujengea nyumba kwa milioni 25 tu
  nyumba standard tena.....

  nimesema hapo we ngoja...

  nafikiria saaana kufanya hii biashara.....kukopesha watu nyumba
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  viwanja vinatakiwa viwe bure.....
   
 6. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 661
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 80
  Rejao
  Mhm kwa kweli, na hiyo 40m yenyewe usidhani ni kiwanja kitacho toa na li garden, nop! Kwa kweli viwanja sikuhizi havishikiki
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  The Boss, wapi hiyo Bonyokwa?
   
 8. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Mkuu tupe details ya hio nyumba ya 25m pengine waweza ukapata wateja hupa.
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Magamba wenzako ndiyo wanaotusababishia huu ugumu wa maisha. Kwa hiyo unatarajia mkulima wa pamba wa kule Magu ataishi lini kwenye nyumba bora kama mambo yenyewe ni hivi??
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  subirini tu..
  nimegundua hii ni bonge la bizness hapa bongo..
  niombee mungu aisee najipanga nifanye hiki kitu...nyumba isizidi millioni 40

  unalipa unahamia.....
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Labda Dr Slaa, akichukuwa nchi tununue mfuko mmoja wa Saruji Sh5000
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ugumu wa maisha tunausababisha sisi wenyewe..mkulima wa Pamba akilima kilimo bora lazima anufaike. Kujenga kwake haitakuwa issue! Mbona wakulima wengi sana wamejenga? Tena nyumba nzuri kabisa!
   
 13. s

  shosti JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  changamka aisee....wateja tupo!
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hata viwanja vikiwa bure..stll huwezi jenga nyumba ikakamilika kwa gharama uliyoisema
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  wewe unaonesha hujawahi kujenga kumbe..

  mwenzio leo nimenunua mabati 70 na bati moja nimenunua 13,000=
  piga mahesabu hapi

  tofali moja sh 800 na nyumba ya vyumba vitatu wastani matofali 1500

  piga mahesabu hapo...hata milioni kumi hap hatufiki...

  mwenzio najenga as we speak....wait and see
   
 16. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Tena wakuu hiyo 99m ni promotion. Wanadai next month itakuwa 113 vat exclusive. Wanaendesha promotion kwa sasa. Hivi huyu Nehemia Msechu anawajua majority ya waTZ kweli?
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Fani yangu ni ujenzi..najenga sana na nawajengea watu nyumba zao..
  Nyumba haijengwi tu kwa mabati na matofali.. Kupandisha nyumba tu siyo kazi kubwa sana..complications zipo kwenye finishing
   
 18. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mbona wewe huendi kulima?
   
 19. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  sasa unazungumzia ugumu wa kazi au gharama za ujenzi?
   
 20. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Siyo lazima kila mtu awe mkulima. Ndio maana kuna specialization
   
Loading...