Nani anasema hakuna correct score kwenye betting?

Vivan cappatinho

JF-Expert Member
Mar 25, 2018
269
230
Hiii dunia ni ya ajabu sana, naisi nina nyota mbaya nitakufa masikini muda huu ningekuwa tajiri mkubwa sana, NANI ALISEMA HAKUNAGA FIXED MATCH? dah nlikuw na fixed match 3 zina jumla ya odds 2106. Nikapuuzia nikamuonesh mshikaj wang nayey ni fal 2 akajarb kwa 100 betpawa amekula lak2 lakn anajilaum kashapasua na glass kam nne et nimeambulia elf 50 nayenyew kanip yey, dah kun nyingine ilikuw peke ake odds 12 af mfukon nin buk 5 cha ajab nikaend kununua mo energy baad ya hap nikaend uwanjan kuchez mpir, nmetok tu nikafikia kweny simu kuangalia matokeo dah nlichokuta uwez amin sijaoga ad saivi najiuliz nina gund gan au nililala na bundi maan leo ingekuwa siku bora kwenye maisha yangu yote
 
Fixed match hazipatika Kwa hao wahuni wanao edit Facebook
 
Uyu alipoipata akamtumia ndug yak ndugu yake na me akanipa, yey alijarb kwa 1000 sijui ni ya nchi gan iyo buku
IMG-20190515-WA0112.jpeg
 
Hakunaga fixed match kiivo ... Wengi wana buni tu... Anaweza kukupa wewe matokeo yatakuwa 2-1 akampa mwingine mechi hiyo hiyo itakuwa 2-0 na akampa mwingine 1-1.. Hapo namaanisha yaani anaweza kutoa matokeo 10 kwenye mechi moja.. Kila mtu akampa correct score tofauti na mwenzake... Na lazima kuna mmoja atashinda
 
Wale scammers ni mafundi mnoo...wanapata pesa za wajinga
 
Bet zinataka ujitoe akili,mi huwa naweka hela ndogo ila nachagua timu mbili au tatu zilizowekewa odds kubwa sana either zishinde au draw ila nikila nakula hela ya maana.

Siku nikiwa na njaa sana naweka 50,000 au 100,000 halafu nachagua timu tatu kwamba yoyote anashinda ,napata hela mara mbili napiga zangu bia kusubiri matokeo
 
Hiii dunia ni ya ajabu sana, naisi nina nyota mbaya nitakufa masikini muda huu ningekuwa tajiri mkubwa sana, NANI ALISEMA HAKUNAGA FIXED MATCH? dah nlikuw na fixed match 3 zina jumla ya odds 2106. Nikapuuzia nikamuonesh mshikaj wang nayey ni fal 2 akajarb kwa 100 betpawa amekula lak2 lakn anajilaum kashapasua na glass kam nne et nimeambulia elf 50 nayenyew kanip yey, dah kun nyingine ilikuw peke ake odds 12 af mfukon nin buk 5 cha ajab nikaend kununua mo energy baad ya hap nikaend uwanjan kuchez mpir, nmetok tu nikafikia kweny simu kuangalia matokeo dah nlichokuta uwez amin sijaoga ad saivi najiuliz nina gund gan au nililala na bundi maan leo ingekuwa siku bora kwenye maisha yangu yote
Unatumia app gani kupata iyo correct score....isije kuwa unatafuta wateja hapa
 
Bet zinataka ujitoe akili,mi huwa naweka hela ndogo ila nachagua timu mbili au tatu zilizowekewa odds kubwa sana either zishinde au draw ila nikila nakula hela ya maana.

Siku nikiwa na njaa sana naweka 50,000 au 100,000 halafu nachagua timu tatu kwamba yoyote anashinda ,napata hela mara mbili napiga zangu bia kusubiri matokeo
Nimetoka kupigwa kipigo cha mbwa mwizi leo leo, nimeweka stake ya kushiba kwa kuweka double chance hiyo unayosema wewe. Nimecheza game ya U17 ilikuwa Hungary na Belgium. Mpaka dk ya 80 Belgium anaongoza bao 1 bila, dk ya 90 Hungary wanarudisha goli mechi ikaisha hivyo watoto wakasubiri ET wakati huo jasho macho yamenitoka, nguo zimeloa jasho yani siamini mkeka wangu ndio basi umechanika. Kwa hiyo bet haina cha double chance, draw wala magoli. Kama ni siku ya kula utakula tu, kama ni siku ya kupigwa utapigwa tu mpaka akili zitakaa sawa!
 
Bet zinataka ujitoe akili,mi huwa naweka hela ndogo ila nachagua timu mbili au tatu zilizowekewa odds kubwa sana either zishinde au draw ila nikila nakula hela ya maana.

Siku nikiwa na njaa sana naweka 50,000 au 100,000 halafu nachagua timu tatu kwamba yoyote anashinda ,napata hela mara mbili napiga zangu bia kusubiri matokeo
Nimetoka kupigwa kipigo cha mbwa mwizi leo leo, nimeweka stake ya kushiba kwa kuweka double chance hiyo unayosema wewe. Nimecheza game ya U17 ilikuwa Hungary na Belgium. Mpaka dk ya 80 Belgium anaongoza bao 1 bila, dk ya 90 Hungary wanarudisha goli mechi ikaisha hivyo watoto wakasubiri ET wakati huo macho yamenitoka, nguo zimeloa jasho yani siamini mkeka wangu ndio basi umechanika. Kwa hiyo bet haina cha double chance, draw wala magoli. Kama ni siku ya kula utakula tu, kama ni siku ya kupigwa utapigwa tu mpaka akili zitakaa sawa!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom