Nani anapenda karanga?

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,460
Jamani mwenzenu naugua kabisa siku ikipita bila kula hata karanga moja kwani ugonjwa unazidi nakuwa kama teja kwa karanga hasa zile mbichi ni noma kabisa, nakosa usingizi nikiizikosa karanga kwani zinaleta mshawasha ,bashasha na hamasa katika kazi zangu ninazofanya za computer kwani niikifanya kazi bila pembeni kuwa na karanga yani siku hiyo huwa mbaya jamani nisaidieni jamani kwani kuna mtu kama mm anayezimikia karanga mbichi kiukweli kweli basi wanajf nijibuni hapa

RAHA YA KARANGA USILE PEKE YAKO MSHIRIKISHE NA RAFIKIYO NAYE UTAONA UTAMU WAKE WE ACHA TU
 
........... ikiwezekana ndg ongeza na vidagaa pemben tena unatupia karanga moj nakidagaaa................ ushauri wa bure hakikisha unaglass ya maj ya kunywa pemben
 
........... ikiwezekana ndg ongeza na vidagaa pemben tena unatupia karanga moj nakidagaaa................ ushauri wa bure hakikisha unaglass ya maj ya kunywa pemben

we Julieth naona unamsaidia jamaa kwa kumpatia dawaya kuacha kula karanga.
 
usile kwenye giza kula nuruni watu wakiona bhana piper usiwapotoshe watu apo weeeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom