Uchaguzi 2020 Nani anapaswa kumrithi Rais Magufuli?

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
276
1,428
Tanzania tunaijua na Watanzania Tunawajua.

Urais tunaujua na sifa za kugombea Urais tunazijua.

Rais Bora tunamjua na sifa za Rais Bora tunazijua.

Je, kwa Aina ya utawala tulionao na kwa nia ya kuyaendeleza Yale mazuri yaliyotendwa na Rais tuliyenaye, Nani anapaswa kumrithi 2020 au 2025?
 
James Mbatia au Zitto ila tatizo lao wapo kwenye vyama kama umoja wa waganga wa jadi.
Mkuu, utani wa aina hii, tena siku ya Krismas, siyo mzuri.
Zitto: anatuhumiwa kuwa kuwa uraia wa mashaka, na kuhongwa pesa, tumpe urais ili iweje?
Mbatia: tumpe urais kwa lipi la maana alilotufanyia?
Post yako ilifaa sana kuja April fools!
 
Huyu tuliye naye ni mpk atakapo rest in peace. Maana miaka 10 itaisha akiwa anainyoosha nchi, halafu baada ya hapo ataanza kuijenga nchi. Ili akamilishe ujenzi wa nchi ni bora afie madarakani.
 
Tanzania tunaijua na Watanzania Tunawajua.

Urais tunaujua na sifa za kugombea Urais tunazijua.

Rais Bora tunamjua na sifa za Rais Bora tunazijua.

Je, kwa Aina ya utawala tulionao na kwa nia ya kuyaendeleza Yale mazuri yaliyotendwa na Rais tuliyenaye, Nani anapaswa kumrithi 2020 au 2025?
Kafanya kitu gani nje ya kazi u Rais mpaka aonekane so special ?! Hizi si ndizo kazi alizoomba au ?!

Kwa ajili Rais ajaye Tz ina hazina kubwa ya watu.
 
Kafanya kitu gani nje ya kazi u Rais mpaka aonekane so special ?! Hizi si ndizo kazi alizoomba au ?!

Kwa ajili Rais ajaye Tz ina hazina kubwa ya watu.
Aliyepo madarakani atamaliza 10yrs bila sheèda baada ya hapo ni muislam atafuata tena atatoka Zanzibar. Wa bara mtasubiri sana hadi 2035.kwa maana nyingine rais wa kutoka bara yuko chuo kikuu kwa sasa.Ni ngumu kumeza lakini jitahidini.
 
Hii ina mkomoa nani ?! Hivi mbona mnapagawa ?! Yeye atimize wajibu wake na wananchi nao watimize ya kwao.

Hiyo miaka 10, ni kwa sababu amechagua mkono wa chuma, badala ya democracy iliyomuweka madarakani. Si kwamba anapendeka bali tume,Tiss , police na wakurugenzi wameelezwa cha kufanya.
 
Back
Top Bottom