HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,056
- 1,212
Nawapongeza kwa kubanaNyerere/kristo alibana
Mwinyi/muslim aliachia
Mkapa/kristo alibana, then aliachia kiasi chake
Kikwete/muslim aliachia
Magu/kristo amebana.
Hapo ndio utajuwa wakina nani wana imani zaidi. Ni hayo tu mkuu.
Hyo ndio Safi
Sio unaachia tu wachache wenye nguvu wale mema ya nchi
Mafisadi Wala rushwa wezii no
Hao walioachia siamini Kama Imani yao inaruhusu haya