Nani anapaswa kumlipa dalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

Sasa hivi technology imekuwa sana. Me ningeshauri tu ndugu zetu mliosoma masuala ya software developers mngetusaidia kudevelop app ambayo ipo kama kupatana ila yenyewe mmiliki wa nyumba au chumba anakuwa anapost tangazo lake kuhusu nyumba au chumba anachopangisha. Then mtu akiliona Tangazo lako mnamalizana.

Binafsi huwa naona ni upoyoyo unaenda kuulizia vyumba kwa mwenye nyumba anakuambia eti hakufahamu mpaka uje na dalali. Dalali yupo kwa ajili ya pesa na siyo kila mtu anamfahamu.
Idea nzuri sana hii.. Nimeipenda hiyo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom