Nani anapandisha Bendera ya Taifa kwenye kilele cha Kilimanjaro peak na kuishusha kila siku?

mchanga mchanga

Senior Member
Jun 13, 2017
115
82
Nianze kwa kuwasalimia wakubwa na wadogo kwa salamu ya Mambo vipiiii?

Kwa muda mrefu nimekua najiuliza bendera yetu iliyopo kwenye kilele cha mlima Kilimanjoro (kilimanjaro peak) ni nani hupandisha kila saa kumi na mbili za asubuhi na ni nani huishusha saa kumi na mbili jioni.
 
Juzi kule mwanza, wimbo wa taifa unapigwa, naona wapiga picha wako bize kutafuta angle. Navyojua sisi wakongwe wimbo huo ukipigwa hutakiwi hata kujitingisha.

Ila hapo hapo wazo likanijia, wapiga picha wako exeptional, kwani hata makanisani mapepo hayawapati.
 
Nianze kwa kuwasalimia wakubwa na wadogo kwa salamu ya Mambo vipiiii?

Kwa muda mrefu nimekua najiuliza bendera yetu iliyopo kwenye kilele cha mlima Kilimanjoro (kilimanjaro peak) ni nani hupandisha kila saa kumi na mbili za asubuhi na ni nani huishusha saa kumi na mbili jioni.
mimi hapa
 
Back
Top Bottom