Nani anamiliki Kilimanjaro Schools Arusha?

Kwa mzazi mwenye utimamu hawezi mpeleka mtoto mdogo hivyo boarding halafu wakirudi huko mashostito mmanza kwenda kanyaga mafuta ya upako kingine huwezi mjua kindakindaki mwanao na ukubwani ndio hao wanakuja kuishi kama wazungu yale mapenzi ya dhazi kwa wazazi yanakuwa yamebakia asilimia 40 amini hivyo
Nilipelekwaga boarding Chekechea, katika vitu ambavyo sitakaa nivisahau ni hichi na sitakaa kumpeleka mwanangu boarding akiwa mdogo.
 
Ngoja nikahamishe katoto kangu kakaingie chekechea hapo maana kule kalipo usanii mwingi. Nilidhani wasabato wenzangu wanathamini thamani ya mtoto ila sio km nilivyodhani. Hali hatarishi uangalizi mdogo. Mchungaji utanisamehe boresheni mazingira ya shule zetu.
Location ya shule hizo? Ka Binti kangu kanatakiwa kuanza huko mwaka hjao
 
Back
Top Bottom