mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,915
Hakuna mmiliki wa internet kuna mmiliki wa miundombinu ya internet ebu kwanza jiulize internet ni nini? Leo wewe mwenyewe ukifungua website ukawa na server yako ni part ya umili wa internet.sasa unabishana na mimi au na google huko mm nimekupa nilichokikuta kwenye google hayo mengine ni yako sasa
Waanzilishi ni NASA (ipo chini ya wizara ya ulizi wa marekani na ilianza jeshini ikaborehsa na huyo jamaa hapo niliyemtaja akaleta uwe public.
Unaposema internet haina mwenyewe wakati imegunduliwa na bianadamu mbona inakanganya sana mkuu..
Mgunduzi wa simu siyo mmili wa simu kumbuka hilo labda useme watu wana patents za technlogy inayotumika ku run internet maana imeanda go phases na technological advancements zote hizo wamiliki wana patents zake lakini haimanishi ndo wamiliki wa internet.
Hiyo hiyo google uliyotumia hata mimi ninaweza kukuletea links kibao toka google zikikwambia internet haina mwenyewe,