Nani analea ufisadi kati ya CHADEMA na CCM?

Nionavyo mimi CCM ni mtambo wa kufyatua Mafsadi. Wanazaliwa huko, wanakulia huko na kuota huko. wawako huko huwa salama na huendeleaa kuzaliana na kuzaliana.
Itokeapo wkawa wameisha tamalaki na Ufisadi wao na wao kama binadamu huhitaji mazingira yasiyolea na kutunza ufisadi hivyo hutafuta pakwenda na kutengeneza toba ya kuokoka dhambi zao za ufisadi nako si pengine bali ni CHADEMA.
Teh!
 
SIASA ZA NCHI HII ZINAWEZA KUMFANYA MTU MWENYE AKILI TIMAMU AONEKANE MWENDAWAZIMU NA MWENDAWAZIMU AONEKANE MWENYE AKILI TIMAMU....NI SUALA TU LA KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI......

ILI UWE MFUASI WA CHAMA CHA SIASA HAPA UNATAKIWA UKABIDHI AKILI ZAKO KWA VIONGOZI WAKO NA WEWE KUGEUKA KUWA KIPAZA SAUTI CHAO........

MABADILIKO YA KWELI HAYATAKUJA MPAKA PALE VIJANA WA TAIFA HILI WATAJITOA KWENYE UTUMWA WA FIKRA ZA WANASIASA NA KUANZA KUZITUMIA AKILI ZAO........
 
Hakuna kitu zaidi ya UNAFKI wa kiswahili

Cairo's
WOTE NI WANAFIKI KUANZIA WANAOSHINDWA KIWACHUKULIA HATUA WEZI HALI YA KUWA WANA DOLA NA UWEZO WA KUWASHUGHULIKIA NA WALE WALIOKUWA WAKITUAMBIA FULANI NI MWIZI NA HAFAI KIWA KIONGOZI NA BAADA YA MIDA WANASEMASIO MWIZI NA MWENYE USHAHIDI APELEKE MAHAKAMANI
 
Ile List ilikuwa na watu wangapi na ni wangapi wapo CHADEMA? Hivi wale waliotiwa hatiani na mahakama na bado wana CCM inakuwaje? Ufisadi wao hauhesabiwi?

Unaposema kuwa ile list ilikuwa na watu wangapi na wangapi wapo CHADEMA maana yake ni kuwa CHADEMA pia kuwa mafisadi kwa kuwa ile list ni mafisadi papa kama alivyotazamka aliyekuwa akitangaza.....

Tafsiri nyepesi kuwa CCM ni MTAMBO mkubwa na CHADEMA NI MTAMBO MDOGO WA KUZALISHA MAFISADI......NA SASA HIVI WAMEONGEZA MTAMBO MWINGINE WA KUWASAFISHA MAFISADI
 
Hata wakipelekwa kuna jamaa yupo nairobi anatibiwa ndo huwa wa kwanza kwenda mahakamani kuwatetea. halafu bado mnauliza nani analea mafisadi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom