Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Hawana ajabu yeyote mazingira tu yamewabeba mlete yeyote kutoka hata Shamba muweke kwenye hayo mazingira mazuri uone Mungu alivyomkubwa
Kweli mazingira hu-favour mwonekano/uzuri wa demu. kuna demu mmoja kaja mjini mwezi wa nne sasa lakini siku namuona mara ya kwanza hata hakuishawishi dudu yangu kusimama ila saiv yuko poa sana na ninamtamani sana ila tatizo ananiheshimu sana na huniita kaka. kwa sijui nimuingiliaje tu kapendeza kweli tofauti na kipindi anakuja town.
 
Mkuu hu uzi peleka jukwaa la vichekesho na mizaha......... hizo nyapu wengine hatuna time nazo.
 
Mi huwa nakerekwa sana ninapoona mnasifia wanawake wasiyofikia hata robo ya my mchepuko.

5018-portrait-of-a-beautiful-african-american-teen-girl-posing-in-the-woods-pv.jpg
 
Hao ndio warembo bongo?
Aisee kweli beauty ni perception, yaani hapo hakuna aliyenitikisa hata moja, em zungukeni dunia kidogo muone watoto, nchi kama South Korea na Japan hawa ndio wa kila siku wale wa kawaida kabisa.

Hata bongo labda kwa kua wazuri wametulia hawatafuti kiki insta, zunguka hata dar siku moja tu utakutana na wazuri x100 ya hawa.
 
muwage mnaangalia watu wa kulinganisha!!!!
huddah alinganishwe na mkenya mwenzie vera ndo malaya wenye maendeleo east africa ....
hawa watoto wa kinondoni naomba muwaweke kundi lao...

kulinganisha watu inabidi iwe class ya mtu, muonekano na nini anamiliki
sio mnalinganisha watu ukubwa wa makota!
 
Acha kumfananisha Huddah na Vitu vya kijinga jinga huyo Tunda amfikii hata demu wangu wa kwanza kule kijijini kwetu Msanga.
 
Hudah ni international gold digger,Tunda ni local gold digger bado hajafikia level ya Akina hudah.
Kwa Maaana nyingine Tunda bado anacheza mechi za mchangani,while Hudah ashakubuu kwenye game amekuwa wa kimataifa...
Yes, tunda hamfikii huddah bado saa
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom