Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Hodi Humu ndani!!!!

Nawasalimu!!!!!!

Leo nimekaa zangu tu, nawaza UPUPUUUU! Hahahaaaaaa! Eti jamani watumia jamvi, nani wa jinsia nyingine anayekuvutia zaidi humu JF kwa mada, fikra, uchangiaji, style, chochote kile au vyote kwa ujumla? Hata KIMAPENZI kama yupo au kizombiiii LOLEST!

Sababu mimi ndo nimeanzisha hii mada ya kiuchochezi ngoja nianze kufunguka na kutiririka mwenyewe kwanza!!!.

Wanasema ukichagua NYAMA chagua ILIYONONA!!! LOL! My number 1 kivutio ni yule yule M wake M. (When the cats washes its hands it can eat with the KINGS!!! LOLEST!!!) Nimeshatangaza NIA, Majimbo yako mengi haina haja ya KUBANANA HAPA HAPA!

Kiuchangiaji Yanasimama majembe mawili 1. Mtambuzi! Dude whatever you write i must read. Hata iwe ndefu vipi! 2. Anasimama RUTASHUBANYUMA (sijui kama ndo spelling za jina lako!) yaani unanisaidiga sana kuwasoma ideology zenu wanaume!!! Zile kitchen party za bure ziendeleee!!! LOLEST!!!!

Kiustaarabu anasimama SNOWBALL, Hata mara moja sijaona umecomment *****! Nakupa 5 kama Dark City aka Babu DC kwa kutuachia UJANA sie wa juzi. LOL! The Boss bwana mda mwengine hueleweki!!! (Haswaa ukitoa comment tata!!)

Fikra bwana kuna fikra za watu huwa hata sizielewi 1.BOFLO (Dude your lost a longtime ago!!! LOLEST!) 2.TIQO sijui hata unawazaga nini kwenye OBLONGATA yako!


P. Didiy unachonivutia sio mvivu kuanzisha thread! Na thread zako si endelevu ila lazima nizisome hata iweje! LOL! Mambo unayoanzisha yanafanana na AVATAR yako!!!

Nyani Ngabu unachonivutia huanzishi thread hataaaa! Ila sio mvivu kucomment, Lazima utie neo japo DONGO na huna style moja, kote unafiti kwa wenye busara na waovu! LOL!

Rutashobolwa unanivutia sana haswaa kwa short and clear answers kama anko Bishanga!

------------------ Unanivutia sana nikugeuze ZOMBIII langu! LOLEST!!!!! ( Sijataja mtu ukijistukia ndo wewe!!!!! UKIMTAJA MWENZIO WEWE NDIE UNAMTAKA!!! LOLEST!!!!)

Wengine nimeshindwa kuelewa jinsia zenu @ kongosho, Kaizer, platzoom, Badili tabia, andybird 314,NK, NK.

Huo ni mtazomo wangu mie KUBWA LA MAADUI aka LARA MOJA, LARA THE ONE, LARA 0 BRAIN. (HAHAHAHAAAAA) JE NYIE NANI WA JINSIA NYINGINE ANAWAVUTIA???????????????





Kwa kweli kwangu mimi wala siyo siri tena, navutiwa sana na dada farkhina, dua langu kila kukicha ni kukutana naye na nimkumbatie huku nikimwambia bibie nakuzimia na nakupenda ile mbaya na roho yangu itapona. Mwanamme gani asiyependa kula kalmati, biryani, pilau, na vyakula vingine vitamu? Ee Mungu baba, naomba unikutanishe na dada farkhina kwani nina maneno mazito naye yanayonisibu moyoni na ndotoni.
 
bora siku nyingine muulizage tunawachukia kina nani list ya ignote inakaribia kufika 200 tanfu jana hadi leo hahahjaha
 
Acheni hizo bwana.......navutiwa na demu flani ivi amaizing !!!
 
Huddah Monroe


db8c43c3042d9784d6cb6ea2331b1fa4.jpg
4c7f3d063411c37e44029394627995e9.jpg
a4db8f170717ad619368ba389838262e.jpg
9b514d6ebdd393fdced4043495b683fc.jpg
f19b3e2c582a66f9fd4215fd6e5f93dd.jpg




Tunda

7d3f9b555899dace171300b4db72d4eb.jpg
29b514a39401200fdcda15bdafffdaa9.jpg
bdb9a8514900d35b2b8aa179ae8046d0.jpg
3a8df63d24d6621a507d9c61c3781dea.jpg
c8c2e773b0717ef0452feeae4d47eeba.jpg
 
Back
Top Bottom