Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Hodi Humu ndani!!!!

Nawasalimu!!!!!!

Leo nimekaa zangu tu, nawaza UPUPUUUU! Hahahaaaaaa! Eti jamani watumia jamvi, nani wa jinsia nyingine anayekuvutia zaidi humu JF kwa mada, fikra, uchangiaji, style, chochote kile au vyote kwa ujumla? Hata KIMAPENZI kama yupo au kizombiiii LOLEST!

Sababu mimi ndo nimeanzisha hii mada ya kiuchochezi ngoja nianze kufunguka na kutiririka mwenyewe kwanza!!!.

Wanasema ukichagua NYAMA chagua ILIYONONA!!! LOL! My number 1 kivutio ni yule yule M wake M. (When the cats washes its hands it can eat with the KINGS!!! LOLEST!!!) Nimeshatangaza NIA, Majimbo yako mengi haina haja ya KUBANANA HAPA HAPA!

Kiuchangiaji Yanasimama majembe mawili 1. Mtambuzi! Dude whatever you write i must read. Hata iwe ndefu vipi! 2. Anasimama RUTASHUBANYUMA (sijui kama ndo spelling za jina lako!) yaani unanisaidiga sana kuwasoma ideology zenu wanaume!!! Zile kitchen party za bure ziendeleee!!! LOLEST!!!!

Kiustaarabu anasimama SNOWBALL, Hata mara moja sijaona umecomment *****! Nakupa 5 kama Dark City aka Babu DC kwa kutuachia UJANA sie wa juzi. LOL! The Boss bwana mda mwengine hueleweki!!! (Haswaa ukitoa comment tata!!)

Fikra bwana kuna fikra za watu huwa hata sizielewi 1.BOFLO (Dude your lost a longtime ago!!! LOLEST!) 2.TIQO sijui hata unawazaga nini kwenye OBLONGATA yako!


P. Didiy unachonivutia sio mvivu kuanzisha thread! Na thread zako si endelevu ila lazima nizisome hata iweje! LOL! Mambo unayoanzisha yanafanana na AVATAR yako!!!

Nyani Ngabu unachonivutia huanzishi thread hataaaa! Ila sio mvivu kucomment, Lazima utie neo japo DONGO na huna style moja, kote unafiti kwa wenye busara na waovu! LOL!

Rutashobolwa unanivutia sana haswaa kwa short and clear answers kama anko Bishanga!

------------------ Unanivutia sana nikugeuze ZOMBIII langu! LOLEST!!!!! ( Sijataja mtu ukijistukia ndo wewe!!!!! UKIMTAJA MWENZIO WEWE NDIE UNAMTAKA!!! LOLEST!!!!)

Wengine nimeshindwa kuelewa jinsia zenu @ kongosho, Kaizer, platzoom, Badili tabia, andybird 314,NK, NK.

Huo ni mtazomo wangu mie KUBWA LA MAADUI aka LARA MOJA, LARA THE ONE, LARA 0 BRAIN. (HAHAHAHAAAAA) JE NYIE NANI WA JINSIA NYINGINE ANAWAVUTIA???????????????
 
navutiwa na
mzl.ixfbjmiw.320x480-75.jpg
 
LARA1 kwa sababu ya different views unazo post kwenye thread tofauti tofauti jukwaa la MMU
 
Last edited by a moderator:
Kwakeli mi kuna watu wengi humu wana ni vutia bhana lakini nitataja wachache
1.kongosho- kwakweli me huwa ana nifurahisha sana hasa nikiona comment zake, maana kama ni mgeni ni vigumu kujua huyu ni jinsia gani kwa wageni wakifika hapa lazima wachanganyikiwe kabisa, kwakweli nikitembelea jukwaani kule anapokaa sana siwezi kuchomoka bila kupitia comments zake, kwakweli huwa zinaniacha hoi sana.

2.kuna watu wana nivutia sana kwani hawafichi wao hawaogopi kutoa makavu live huwa nikiona post zao au comments me hoi
*lara1
*Natalia yani huyu alinivutia sana maana alikuwa akwepeshi,sijui ataachiwa lini?
*Madame B hapa siongei sana

kwa upande wa busara bhana pagumu lakini gsfswin, kaunga wananivutia

kiumeni sasa.

Vituko
1:Boflo huyu jamaa ana vituko sana nikiona post zako nacheka sana
2.aspirin, huyu kila akipost me huwa nacheka sana tena sana!

*Busara
hapa kuna watu upande wangu wananivutia sana
.Mtambuzi
:mzizi mkavu

Sito msahau huyu dada(Radhia sweety) yeye kwakeli utembelea sana sana jukwa la siasa huwa nikiona comments zake kwa kweli huwa akosi cha kukosoa kwenye post yeyote hile, kwa hiyo huwa nikiona post haieleweki nasema moyoni akija Radhia sweety lazima pachimbike. Kwakweli huwepo wake kule siasani unanifanya niondoe stress maana huwa ni mkali me naishia kucheka sana!
 
Kwa bahati mbaya sana huwa nasoma Comment tu siangalii kakomenti nani

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mie sisalimiwi eeh?.....Afu mbona umesalimia wakaka/wababa/wababu peke yao?......sheria za jf si zinakataza ubaguzi wa kijinsia?.....haya upesi nisalimie kabla sijareport abuse!.

lara anataka tutaje wa jinsia tofauti, salamu zangu utazkuta kwa nitonye
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom