Nani anakumbuka?

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Katelelo...miaka ile mi nasoma msingi kuna hadith moja ilikua ina kichwa cha habari SIKU WA GULIO KATELELO. nlikua naipenda sana. Nani anaweza kunisaidia ntapata wapi kile kitabu?
 
Natokea tarafa hiyo ya katelelo mkuu kama vip nitafute nikupeleke ukaone kwa macho yako tena live bila chenga
 
mshamba wewe...nenda maktaba ya taifa au book shops kubwa dsm. hakiwezi kosa. je kibanga ampiga mkoloni?? sizitaki mbichi hizi?? upo?
 
mfalme ana masikio marefu ka ya punda
tola ala gizani
chatu zizini
Pepembona huna masikio
 
Maktaba vitabu hivyo hakuna tafuta kwa wauzaji wa vitabu vilivyotumika mitaani unaweza kupata au kwa waliosoma miaka hiyooooooo ya 70.
 
Katelelo...miaka ile mi nasoma msingi kuna hadith moja ilikua ina kichwa cha habari SIKU WA GULIO KATELELO. nlikua naipenda sana. Nani anaweza kunisaidia ntapata wapi kile kitabu?

gulio ni soko la siku mojamoja...................................na katerelo ni kijiji ambako soko hilo huzuka mara kwa mara...........................it is a long story..............I used to have a gal from that village "in those were the days"..........................am told she is happily married somewhere in Dar ......................am taking this opportunity to wish her the best 4 her and family.......................

sina uhakika na spelling za katerelo ni katelelo..............though
 
Back
Top Bottom