Nani anakumbuka tukio la mchungaji aliyeua mgeni na yeye kufa akiwa kwenye ibada Mkoani Arusha?

Tukio baya ambalo linakumbukwa na kusemwa Arusha ni tukio la Wamishonari kukatwakatwa kwa panga na kuzikwa kaburi moja, eneo la Akeri Tengeru.
Jamani mbona huruma.
Ila nina imani haikuwa mambo ya kidino.
Natamani kujua ilikuwaje mkuu
 
Hadithi hii nani niliisikia miaka ya 1990 tisini ILS ilielezwa kwamba ni Mmasai aliyekuwa ametoka mnadani akielekea nyumbani ila kea vile alikuwa na pesa nyingi aliomba hifadhi kwa Mchungaji ambaye baada ya kugundua mmasai na fedha alimuua usiku ile na kuzichukua japo mkewe hakutaka.Ilielezwa kwa vile alikuwa Jmosi kuamkia Jpili Mchungaji alipokuwa akiongoza ibada Giza lilitokea na baada ya Giza kutoweka mchungaji alionekana akiwa amefungwa pingu
 
Kasema hajawahi kusikia uongo kama huo

Sawa
 
Back
Top Bottom