Nani anakumbuka jinsi W BUSH alilvyo kwepa viatu?

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Nlikua naangakia aljazeera mara waka onyesha ile clip ya bush ambayo alirushiwa viatu toka kwa waandish wa habar. Kikicho nifurahisha ni jinsi jamaa alivyokua fasta kukwepa mpaka nikajiuliza au bush alikua bondia?
 
Bush mana, alikuwa anatupa sana raha lakini.........

 
Last edited by a moderator:
Alikuwa rais wa kipekee kwa kweli,afu akaendeleza hotuba kama hakukuwa na kitu chochote kilichotokea.
 
Bush ni jembe si unaona hakuna maarab yanayo make noise tena ,yanafyatuana yenyeye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom