Nani anajua Simulizi nzuri humu JF

mwamba_ngori

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
251
294
Hellow, wana JF poleni na majukumu najua mwanzo wa mwak huwa ni mgum sana sababu wazaz wametumia baadhi y pesa kweny sherehe za mwisho wa mwaka.

Tuje kweny point mim n mpenzi wa kusoma simulizi na hadithi mbalimbali huwa nai enjoy sana kuliko navyoona kwenye runinga haswa nikiwa sina kazi napenda kujipoza kwa kusoma simulizi.

Ngependa mwana JF yeyote ambaye asha soma simulizi nzuri humu naomba aandike hapa jamvini mimi Nifurahi na kujipooza kwa kuzisoma.
 
Habibu.B.Hanga. utajutia kumsoma a.k.a the bold..hatari icho kiumbe.
 
Tafuta hizi stori nina uhakika utakesha ukianza kuzisoma...kama unapenda za upelelezi
  • Ufukwe wa madagascar
  • Mifupa 206
  • Mtutu wa bunduki
  • Tai kwenye mzoga
 
Peniela....siri.....the football.....mdunguaji wa goma...nyuma yako.....anga la washenzi...n.k
 
Back
Top Bottom