Nani anajua fedha za uchaguzi wa Zanzibar zimetoka wapi?

buswelu moja

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
226
180
Sisi kama Taifa tunahitaji kuhoji,sisi kama watu tunaofikiri mambokwa upana nyuma ya pazia ni lazima tuchuje bongo zetu tujiulize je fedha za kugharamia marudio ya uchaguzi Zanzibar je zimetoka wapi?tumesikia mengi kwamba serikali ya SMZ ikisema fedha zipo za kutosha lakini tumeshajiuliza hizi fedha zimetoka wapi?tunajua Zanzibar kwa sasa uchumi wao uko hoi bin taaban kwa kukosa fedha hususani zile zinazotoka katika sekta ya utalii achana na zao la karafuu kutokana na kuyumba kwa usalama ambao ni nguzo kuu katika sekta ya utalii.ukifika Zanzibar utakutana na makundi ya vijana barabarani wanavuta unga wengine wanajidunga sindano za madawa ya kulevya kwa ukosefu wa ajira na kisiwa kuwa dampo la madawa ya kulevya ukitaka ukweli nenda maghorofa ya MICHENZANI kisha shuhudia namna wafanyabiashara wakubwa wakiyatumia kuficha madawa ya kulevya,lakini tusiende mbali je ni wapi fedha hizi zimetoka? ni swali tu
 
Na walio toa hizo pesa hao ndio chanzo cha matatizo yote zanzibar.
Na wamewageuza wanzanzibar wote kama wake zao.
Sii huwa wanasema mwanaume ndio kichwa cha nyumba. Na hayo maamuzi ya kuludia uchaguzi sio ya wanzanzibar.
 
Sisi kama Taifa tunahitaji kuhoji,sisi kama watu tunaofikiri mambokwa upana nyuma ya pazia ni lazima tuchuje bongo zetu tujiulize je fedha za kugharamia marudio ya uchaguzi Zanzibar je zimetoka wapi?tumesikia mengi kwamba serikali ya SMZ ikisema fedha zipo za kutosha lakini tumeshajiuliza hizi fedha zimetoka wapi?tunajua Zanzibar kwa sasa uchumi wao uko hoi bin taaban kwa kukosa fedha hususani zile zinazotoka katika sekta ya utalii achana na zao la karafuu kutokana na kuyumba kwa usalama ambao ni nguzo kuu katika sekta ya utalii.ukifika Zanzibar utakutana na makundi ya vijana barabarani wanavuta unga wengine wanajidunga sindano za madawa ya kulevya kwa ukosefu wa ajira na kisiwa kuwa dampo la madawa ya kulevya ukitaka ukweli nenda maghorofa ya MICHENZANI kisha shuhudia namna wafanyabiashara wakubwa wakiyatumia kuficha madawa ya kulevya,lakini tusiende mbali je ni wapi fedha hizi zimetoka? ni swali tu
Zanzibar ni Nchi, lakini ni kama watoto wetu huku Bara.
Fedha zinatokana na kodi zetu Tanzania Bara.
Wakati wa sherehe za Mapinduzi , ilisemekana Magufuli aliahidi fedha za marudio ya uchaguzi lakini hakusaidia sherehe za Mpinduzi.
 
Sisi kama Taifa tunahitaji kuhoji,sisi kama watu tunaofikiri mambokwa upana nyuma ya pazia ni lazima tuchuje bongo zetu tujiulize je fedha za kugharamia marudio ya uchaguzi Zanzibar je zimetoka wapi?tumesikia mengi kwamba serikali ya SMZ ikisema fedha zipo za kutosha lakini tumeshajiuliza hizi fedha zimetoka wapi?tunajua Zanzibar kwa sasa uchumi wao uko hoi bin taaban kwa kukosa fedha hususani zile zinazotoka katika sekta ya utalii achana na zao la karafuu kutokana na kuyumba kwa usalama ambao ni nguzo kuu katika sekta ya utalii.ukifika Zanzibar utakutana na makundi ya vijana barabarani wanavuta unga wengine wanajidunga sindano za madawa ya kulevya kwa ukosefu wa ajira na kisiwa kuwa dampo la madawa ya kulevya ukitaka ukweli nenda maghorofa ya MICHENZANI kisha shuhudia namna wafanyabiashara wakubwa wakiyatumia kuficha madawa ya kulevya,lakini tusiende mbali je ni wapi fedha hizi zimetoka? ni swali tu

zitakuwa zimetoka SMZ
 
Back
Top Bottom