How do you symbolize in your mabosity!
Lukansola jamaa anatongoza kiaina hapo ujue ndo maana huyo Lady doctor akapewa copy
Naona msisitizo hapo Arushaone hahaha. Au huyo ndo shahidi yako?
usishangae sana Lukansola mi ndiye ninaye mtibu ukichaa wake
kumbe dogo si mzima...
Haina maana yoyote. Ni vijana wa darasa la nane kwenye miaka ya 1960's walikuwa wanatambiana kiingereza chao.How do you symbolize in your mabosity!
Then it lasted longer cause i keep hearin it through my uncles when they were in sec and high schools in mid or late 80s with an addition of "time is makunjable"and some other shits i couldn't care to remember!Haina maana yoyote. Ni vijana wa darasa la nane kwenye miaka ya 1960's walikuwa wanatambiana kiingereza chao.
Hahahahaha,jamani