Nani anaifahamu hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anaifahamu hii?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Adm, Feb 26, 2011.

 1. A

  Adm Senior Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Cliinical officer wa tanzania anapoanza kazi anaanza na mshahara wa Tsh ngapi?. Na je, kipi bora kwenda kusomea clinical officer au kwenda vyuo vya mifugo-LITI
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,229
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Unaulizia mshahara bila hata kujua mlango wa darasa? Kasome political science km unaangalia maslahi
   
 3. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,826
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Anaanza na ngazi ya mshahara TGHS B1 basic 329000/-.Kuhusu choice achana na mifugo,hakuna dili huko.Ila hiyo clinical officer yako usitake kufanya kazi town,utapigika kaa kijijini hasa mikoa ya kusini(mtr na lindi),hata gari utamiliki.
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  We mcenge ni noma, nahc ungezaliwa Butiama ungekuwa Nyerere. Nashukuru kwa ushauri mwema uliompatia mwenzetu...
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  sasa hapa unamtusi au unamsifu?
   
 6. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ndio sifa hizo
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  washinda vijiweni utawajua tu:rain:
   
Loading...