Nani anahusika kupima na kutoa hati katika manispaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anahusika kupima na kutoa hati katika manispaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makanyagio, Jun 3, 2011.

 1. M

  Makanyagio Senior Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wandugu wa JF msaada tafadhali. Naomba keleweshwa au kufahamishwa ni nani katika manispaa haswa za Dar es salaam anahusika katika upimaji na utoaji hati za viwanja?
  Kwa uelewa wangu mdogo naomba kusahihishwa: manispaa ndio wanaopima na kupitisha ramani na kutoa offer letter ambayo utapeleka Ardhi kupatiwa hati.
  iinahitaji muda gani ili mtu uweze kupata hati kisheria? Ukiacha ukiritimba wa uecheleweshaji wamakusudi unaofanywaga na watendaji.
   
Loading...