Nani anahaki na nani hanahaki ya kuwa umeme wa nyuklia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anahaki na nani hanahaki ya kuwa umeme wa nyuklia?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Salehe Ndanda, Aug 10, 2009.

 1. S

  Salehe Ndanda Member

  #1
  Aug 10, 2009
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu hatuwezi kutoka bila ya kuwa na umeme wa nyuklia 'believe it or not' why not ? kwa sababu nchi zote zilizopiga atua ya kimaendeleo zinaumeme wa uhakika, na umeme wa uhakika ni wa 'NUCLEAR' sisi Tanzania tunasubiri nini?

  Maendeleo gani yatakuja bila ya umeme wa uhakika? mwekezaji gani atakuja Tanzania wakati anajua hatuna umeme wa uhakika? kutoka nchi gani marekani , uk au Germani? THEY CAN'T perhaps we will have been cooling electrical nuclear programmes without electrical nuclear programme WE CAN'T.

  l wish l were President, l start now 'FEAR NONE'

  Friend in need is friend indeed tunatatizo la umeme Tanzania kama marafiki wa kweli kwanini hawatutatulii hili la umeme? au wanajua KUKOMBA MADINI TU. KUNA NUCLEAR MOTO - AMBAYO INAZALISHA UMEME NA SIRAHA ZA SUMU. KUNA NUCLEAR BARIDI INAZALISHA UMEME TU HII HAINA UGOMVI.

  HII BARIDI NDIO SAFI. INA GHARAMA SANA LAKINI URUSI CHUKUA TANZANITE TUJENGEE COOL ELECTRICAL NUCLEAR PROGRAMME IN SINGIDA OR DODOMA HATA KAMA MIAKA 20. FEAR NONE. WHICH IS WHICH? WAJUKUU ZETU WAKIIKUTA TANZANIA YENYEMAANDAKI NA UMEME WA NUCLEAR AU MAANDAKI BILA UMEME WA NUCLEAR?

  MBONENYAI.
   
  Last edited: Aug 10, 2009
Loading...