e2n
JF-Expert Member
- Dec 24, 2015
- 637
- 793
Heshima kwenu wanajamvi naomba mtu anayefahamu vizur kuhusu chuo cha elimu ya watu wazima. Maana kunamatangazo yao wanasema wanatoa diploma ya masafa. Kwa abayefahamu kwa kina naomba anisaidie maana mm ni mwalimu wa ngazi ya cheti nataka nakachukue diploma.