Nani anafahamu jina la filamu hii ya kihindi?

nasrimgambo

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
1,858
2,348
Habari

Kuna filamu moja ya kihindi, televisheni ya Capital tv walikuwa wanapenda sana kuionesha, ni nzuri sana, kwa muda mrefu Nimekuwa nikiitafuta ila sijawahi kufanikiwa kupata jina lake

Muvi yenyewe ni ya kizamani (pengine ilichezwa miaka ya 1960s)

Kwenye muvi, kuna Prince mwenye uchu ambaye ana panga njama za kumuua babake ambaye ni mfalme na anafanikiwa kumfungia kwenye shimo kubwa lililo kwenye kasri lao la kifalme, kisha anauaminisha umma kuwa mfalme amefariki hivyo yeye anatawadhwa kuwa mfalme mpya.

Kwa upande mwengine, Prince ana dada yake ambaye ni Princess,
Princess huyo ni ana roho mbaya na ana dharau raia maskini.

Sasa a natokea steringi wa muvi ambaye ni raia anayeishi maisha ya kawaida na mama yake na rafiki yake ambaye ni wa jinsia ya Kike, rafiki huyo anampenda steringi ila steringi anamchukulia kama mshkaji wake tu au kama dada yake tu.

Basi huyu steringi anatokea kumpenda Princess,
Ila Princess kutokana na kudharau raia maskini hataki kuionesha kuwa kamzimikia jamaa, halafu Princess anajifanya ngangari na katili anakaa balaa ili kufanya steringi aache kufuatilia kwa kudhani kuwa Princess hampendi na kuwa Princess roho yake imeumbiwa kutokupenda

Kwa bahati mbaya steringi haamini kabisa kuwa Princess hampendi na haamini kabisa kuwa Princess ni mgumu hataki mapenzi a naendelea kumuimbia nyimbo mashairi na kumtaka,
Hali hiyo inafanya steringi ajikute akiingia kwenye mkono hatari ya familia ya kifalme

Mwisho wa muvi raia wanagundua ukweli kuwa mfalme hakufa na wanampindua Prince na kumrudisha mfalme wao kwa msaada wa steringi, nae Princess ana kubali kuwa kweli anampenda steringi na kwamba kweli kaka yake, yani Prince ni mtu mbaya.

Yani natafuta hii muvi kwa udi na uvumba, capital tv wameweka hii muvi mara hata mía zina fika kwa bahati mbaya sijawahi pata jina lake, Naombeni MSAADA kwa anyeijua
 
Jamani mtajieni movie ya miaka ya 1960

Screenshot_20220303-203355.jpg
 
Muvi yenyewe soundtrack na theme song ndio hili

Uwe unachek ratiba zao kila ijumaa . Hiv movie inaweza kuwa hewan halafu ikashindikana kujua jina lake?
 
Mm mwenyewe ninaitafuta sana jina limenitoka ila nikipata jina nitakujuza
Habari

Kuna filamu moja ya kihindi, televisheni ya Capital tv walikuwa wanapenda sana kuionesha, ni nzuri sana, kwa muda mrefu Nimekuwa nikiitafuta ila sijawahi kufanikiwa kupata jina lake

Muvi yenyewe ni ya kizamani (pengine ilichezwa miaka ya 1960s)

Kwenye muvi, kuna Prince mwenye uchu ambaye ana panga njama za kumuua babake ambaye ni mfalme na anafanikiwa kumfungia kwenye shimo kubwa lililo kwenye kasri lao la kifalme, kisha anauaminisha umma kuwa mfalme amefariki hivyo yeye anatawadhwa kuwa mfalme mpya.

Kwa upande mwengine, Prince ana dada yake ambaye ni Princess,
Princess huyo ni ana roho mbaya na ana dharau raia maskini.

Sasa a natokea steringi wa muvi ambaye ni raia anayeishi maisha ya kawaida na mama yake na rafiki yake ambaye ni wa jinsia ya Kike, rafiki huyo anampenda steringi ila steringi anamchukulia kama mshkaji wake tu au kama dada yake tu.

Basi huyu steringi anatokea kumpenda Princess,
Ila Princess kutokana na kudharau raia maskini hataki kuionesha kuwa kamzimikia jamaa, halafu Princess anajifanya ngangari na katili anakaa balaa ili kufanya steringi aache kufuatilia kwa kudhani kuwa Princess hampendi na kuwa Princess roho yake imeumbiwa kutokupenda

Kwa bahati mbaya steringi haamini kabisa kuwa Princess hampendi na haamini kabisa kuwa Princess ni mgumu hataki mapenzi a naendelea kumuimbia nyimbo mashairi na kumtaka,
Hali hiyo inafanya steringi ajikute akiingia kwenye mkono hatari ya familia ya kifalme

Mwisho wa muvi raia wanagundua ukweli kuwa mfalme hakufa na wanampindua Prince na kumrudisha mfalme wao kwa msaada wa steringi, nae Princess ana kubali kuwa kweli anampenda steringi na kwamba kweli kaka yake, yani Prince ni mtu mbaya.

Yani natafuta hii muvi kwa udi na uvumba, capital tv wameweka hii muvi mara hata mía zina fika kwa bahati mbaya sijawahi pata jina lake, Naombeni MSAADA kwa anyeijua
 
Mm mwenyewe ninaitafuta sana kina limenitoka ila nikipata

Inaitwa Aan (1952)
 
Dilip Kumar ndo sterling
Asanteni sana, yani sio tu mmenitajia jina la muvi, nilipo angalia nikisome habari zake huko Wikipedia eti nimekuta muvi imeweka Wikipedia sikuamini picha hii hapa naambatanisha, mkaicheki Wikipedia aan 1952 kama mlivyoniambia mnapata eti muvi yote imewekwa hapo Wikipedia, hapa kesho nikipata sehemu ina wifi ya bure nadownload muvi hiyo yote niwe nayo

Screenshot_20230601-213245.jpg
 
Back
Top Bottom