Nani anaemhudumia mwenzie kwenye mechi?...nani alipie huduma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anaemhudumia mwenzie kwenye mechi?...nani alipie huduma?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Maalim Jumar, Jan 4, 2011.

 1. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Waheshimiwa GT!
  Hili linanisumbua sana...naomba kusaidiwa.
  Hivi ikiwa wewe Mr umejitahidi kwa bidii zako zote hadi ukamuopoa dem...ukampeleka unapojua mwenyewe ...ukagharamia uwanja wa mechi na huduma zinginezo.
  Baadae mechi ikaanza...bila shaka nyie wote timu mbili upande huu na upande ule...mmeshiriki ipasavyo kuhakikisha mnawekeana upinzani wa kutosha ili siku nyingine mechi irudiwe.
  Sasa baada ya huo mchezo nani anastahiki kumlipa au kugharamia hiyo huduma?
  Ni hayo tu.
   
 2. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  MENEJA wa hiyo MECHI ndo analipa gharama zote!!
  WANAHUDUMIANA Mkuu, VIPI hujawahi kucheza MECHI???!!!
  Pia unazungumzia mechi ipi ya NDANI au NJE ya inji??!!

   
 3. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kwanini wasichangie gharama?
  Kwani hizo mechi za nje ni zipi?
  Au za ndani ni zipi?
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  The one who started or initiated the whole process!
   
 5. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Achangie gharama wakati unasumbuliwa na WADUDU wa NGONO ni wewe!!!!

   
 6. p

  poet Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo kwanza kuna gharama za aina mbili.
  moja ni gharama za maandalizi ya hiyo mechi unaweza kuita mtaji( initial capital)
  ambazo huyo Mr ndo alogharamia.
  pili ni gharama za mechi yenyewe ambazo ziko shared na wote wawili hivyo basi
  Mr anafaa kulipwa gharama za awali kwani raha wamepata wote iweje yeye ndo agharamike zaidi?
   
 7. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mshapeana...gharama itoke wapi tena? labda kama we ni fataki, umpe hela ya chupi
   
 8. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  It's a very pretty.
   
 9. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hili itabidi tuelimishane.
  Hizi sehemu mbili zijulikane.
   
 10. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hakuna wa kulipa gharama baada ya mechi maana kila kitu kinakuwa kimekwisha na watu wanaangalia ni nani kashinda na kufanya tathmini ya mchezo.
   
 11. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Do you have anything to show for it?
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mwanaume ni kichwa kwa mwanamke
  ni duty yake kulipia kila kitu ata km jamaa kpato chake kduchu ni lazima agharamie MCHEZO
  YEs ata demu ndo aliomba pambano stl mwanaume anahitajika kulilipia pambano
   
 13. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mr alipie maandalizi?
  Wakati nyie wote mmehusika...mechi ikawa si yakuridhisha...upande 1 ulishindwa...hapo bado anakandamizwa Mr alipie pambano?

  Kwwani aliepanga kua ni lazima mechi yeyote ilipiwe na Mr ni nani?
  Ilikuaje iwe hivyo?

  Inantiza sana!
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mwanaume ni kichwa katika yote na popote
   
 15. comson

  comson JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kwani raha napata peke yangu....
   
 16. comson

  comson JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mwanaume ni kichwa kipi...kile kilichopokonywa kofia yake au hiki chenye mackio
   
 17. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ili ngo'mbe akupe maziwa, lazima umpe mashudu.
   
 18. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wachangieje gharama wakati alieomba mechi ana julikana? Yani we ukimualika mgeni kwako unataka aje na msosi wake?
   
 19. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Preta hapo hapana, kumbuka yeye ndo kasotea kuomba hiyo mechi, then yule mwenzie akaipiga ipasavyo japo walishirikiana hapo ni maelewano walipane au waagane kimya kimya kila mtu apotezee, lakini bado alieomba mechi anatakiwa alipie gharama za usumbufu.
   
 20. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nakufa mie uwiiiiiii......
   
Loading...