Mitandao inachangiwa na wahibga wengi sana au watoto wa shule.
2030 nakamata inchi bwashee mtaisoma . Keyboard warriors wengi ni fyekeleaa
 
Tataizo Sio kiapo.
Tatizo ni umepewa mbinu za kum attack adui huku wewe ukijilinda halafu huzitumii..

Katika Mafunzo yao Sheria namba Moja ni kulinda usalama wako kwanza, Maana Askari asipokua salama tayari amehatarisha Maisha yake yeye Mmoja na Raia zaidi ya 1000(Kutokana na ratio)..

Sasa yule anamfuata adui Mwenye Miguu ya kuku Minne, as if kashika magunzi na mbaya zaidi katika open space kama ile na zaidi huna protection yoyote ile kama bullet proof n.k, No wonder alikua anaita wenzake waje hawakwenda.
Hakuna kiapo cha kumfuata adui kichwa kichwa na kufa kizembe.
Katika principal za matumizi ya silaha za moto
1. Tumia silaha yako katika muda sahihi kwako
2 . Usipoteze focus ya target yako

alipigwa risasi sababu alipoteza focus ta target
Kama angekuwa on target yule jamaa alivyotoa kichwa tuu angemshuti kirahisi

kosa kosa jingine alivyoshutiwa akatoka na kukaa sehemu ya wazi kabisa
Kama yule jamaa ange toka kidogo tu angemshuti kirahis
Ilitakiwa abaki kwenye fence na macho yake on target again ready for action
 
Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.

View attachment 1908287

View attachment 1908288
Hawa si wamezoea kuwakamata kina Mbowr?
Wale askari kama ulisikia wamazingira nyumba ya Lema Mara wamazingira nyumba ya Gwajima. Mara wamevamia hoteli wamewabeba kina mbowe.
Ndio hawa sasa.

Hapo kakutana na kidume
 
Back
Top Bottom