Nani anachoma moto masoko na vibanda vya wafanyabiashara?

Maandalizi ya kuifanya tz ya uwekezaji
Ni kweli, hawa wamachinga na ajira zisizo rasmi wanaendelea kuondolewa na vibanda hivyo vikiungua hawatakuwa na nafasi ya kurudi tena hapo, wala vibali vya ujenzi havitatolewa kwao, waende sehemu rasmi zilizoandaliwa na serikali
 
wafuasi wa mboe lazima wachunguzwe.
jeshi la polisi lianze kwanza na hao wafuasi wa mboe.
Sisi Raia wema tutoe taarifa mara tunapoona kuna viashiria vya kihalifu.
mboe alikuwa anawatumia sana vijana kufanya vitendo vya kihalifu.


mboe alisha pandikiza chembe chembe za kihalifu kwa wafuasi wake, hivyo wafuasi wake ni watu hatari sana, wanapaswa kufuatiliwa nyenendo zao hadi chooni.
Mboe ndio nini au unawaza mbo
 
Msajili wa Vyama anapaswa akifutile mbali hiki chama ambacho kiongozi wake ni Gaidi.
hiki chama cha Chadema hakina nia njema na amani ya nchi yetu.
hakifai kabisaa maana misingi ya chama hicho ni uhalifu.
 
Msajili wa Vyama anapaswa akifutile mbali hiki chama ambacho kionhozi wake ni Gaidi.
hiki chama cha Chadema hakina nia njema na amani ya nchi yetu.
hakifai kabisaa maana misingi ya chama hicho ni uhalifu.
Naona mimba changa inakuzingua nafikir utazaa mtoto chadema
 
Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ?

Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ?

tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .

 
Na kwanini unazuka kwa Kuvizia mara Dar es Salaam mara Morogoro mara Mwanza mara Mbeya mara Morogoro na umeanza kuwaka baada tu ya Tamko la mwisho kwa Wamachinga kuhama katika maeneo siyo halali waliyokuwepo na waliyoyazoea kwa Kusapotiwa na Viongozi wa Kisiasa nchini?
 
Hili la machinga kwasasa linafanywa ili kumchafua mashungi,skutarajia kuona machinga wa huku kwetu sengerema nao wanaondolewa wakat hawakuwa wanaziba njia za watembea kwa miguu au barabara
 
Machinga wamekosa nini mpaka wajikute kwenye adha hii? Mbona kama ni kupiga kura haijulikani walipiga wapi kura zao. Wanaowatesa machinga wanapunguza kura zao za kuwapa ushindi wa kishindo
 
Back
Top Bottom