Nani anachoma moto hotel na bar Zanzibar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anachoma moto hotel na bar Zanzibar?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kinganola, Aug 18, 2011.

 1. kinganola

  kinganola Senior Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani,mimi kwa kweli nashangaa sana,pilipili usioila inakuwashia nini?,hivi hao watu wanajilia bata huko mjini unguja kwa gharama zao,wamewakosea nini?,mimi nawaza na sipati jibu,Mungu wangu na nasikia mmekata mkono mlinzi alipokuwa akiwazuia msimwage petrol,hivi huo unyama,mnajielewa lakini?,au hiyo SMZ ni ya Baba enu?,nawaambia malipo ni hapahapa duniani,na nyie polisi sawa tu,mnajifanya hamuoni vile.
   
Loading...