Nani anaadhirika baada ya Talaka?

mbenda said

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,019
1,944
Naomba kujua hili kwa wanandoa wanapotalikiana (kuachana) nani anaadhirika zaidi kati ya Mwanamke au Mwanaume, na kwanini?
 
Mara nyingi anayeathirika sana ni mwanamke.

Kwa mfano kama wanandoa wamepata mtoto/ watoto, na wametengana ikiwa watoto bado wadogo mara nyingi mwanamke ndiye huchukua jukumu kukaa nao.

Tukiacha shida atakayo ipata katika kuwalea watoto, pia atakuwa amepunguza uwezekano wa kuolewa tena.

Maana mwanamke mwenye mtoto/watoto hutazamwa tofauti (single mother) ukilinganisha na asiye na mtoto.
 
Mawazo mfu!.sidhan kila mwanamke aloachika analazimika kuolewa! Kina dida hao wanafanyaje?😄😄bandika bandua!
 
yule ambaye ni tegemezi kwa mwenzake ndio anaathirika sana, mfano yule ambaye kipato chake kinamtegemea mwenzake au hana kipato anategemea mwenzake akipata ndo nayeye apate huyo ataathirika sana na mara nyingi inakuwaga ni wanawake sababu wengi wao ni tegemezi lakin pia inaathari kwa baadhi ya wanaume lakin sio sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukawa unamhudumia mwanamke na bado akikuacha ukasononeka
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom