Nani ana uwezo wa kuimba zaidi ya Ed Sheeran?

Jamaa anagonga viewers hadi 4 billion on YouTube.....just check it
Nchi za Latin America ndo zimeteka soko LA muziki duniani namanisha nchi Kama Peru Spain Na Puerto Rico
Msanii Kama Luis Fonsi ambaye anashikilia rekodi ya msanii mwenye single song iliyotazamwa sana YouTube "despacito"anatokea huko
 
in your perspective mkuu Ed Sheeran ni habari nyingine....
 
Back
Top Bottom