Nani ana uchungu na watoto walioko China kuliko wazazi wao?

pombe kali

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
221
431
Binafsi, nimengalia maoni ya watu kuhusu wanafunzi waTanzania walioko nchini China nashangaa jinsi ambavyo watu wanajifanya wana uchungu kuliko wazazi wao.

Labda tukumbushane wanafunzi walioko China ni zao la ufadhili wa Serikali na wanafunzi wengi kama sio wote walioko nchini China ni ufadhili na nafasi hizi huzipata watoto wa wafanyakazi serikalini.

Binafsi nawajua wanafunzi watatu wa wafanyakazi serikalini tena kwenye nafasi nyeti.

Sasa ikiwa wazazi wao ambao ndio watunga sera wameamua kuwaacha watoto wao ili wasiteketeze nchi wewe ni nani mpaka uanzishe kampeni mitandaoni kuilamu Serikali kwa kuwatelekeza watoto hao?

Tusitumie changamoto kama njia za kugain political Millage loud and out.
 
Back
Top Bottom