Nani amsimulie Rais Samia namna madini yanavyotoroshwa nchini?

Sasa unaweza ukaniambia kwa nn wanatorosha madini= maana yake soko la hapa Tanzania ni magumashi lingekuwa vizuri wasingetorosha,,
Kuna tatizo hapa nchini!!
 
Inasikitisha sana tena sana! Ukienda Dodoma mji mzima umetapakaa ma V8 utadhani Kila mwananchi analo kumbe viongozi wa serikali wanazurura tu hapo Dodoma hawapo kwenye field. Maisha magumu, vitu vimepanda bei mno, wao hawaoni maana hizi biashara za utoroshaji wengine ni za kwao wameweka tu mawakala huko site. Wanafunzi zaidi ya 7,000,000 shule za msingi na sekondari nchi nzima wanahudumiwa na walimu wasiozidi 250,000 sawa na mwl mmoja kwa wanafunzi 200 kuajiri watumishi wanaoendana na nguvu kazi inayotakiwa utasikia hakuna pesa lakini wao wanakula viyoyozi kwenye maV8 bila wasiwasi.

Acha corona iendelee ili itushikishe adabu
 
Back
Top Bottom