Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,180
- 42,000
Wana jamvi wasalaam!
Hivi karibuni kulikuwa na taarifa hapa nchini kuwa msanii Diamond amenunua private jet na huku wakisindikizwa na picha wakiwa kwenye ndege hiyo!
Wengi walisema ni kiki na ikumbukwe kuwa kipindi zinatoka habari hizi ni kipindi ambacho Msanii Harmonize alikuwa ametoa wimbo wake wa “atitudoo” na wengi walichukulia ni mbinu za kumkwamisha au kuzimisha “atitudooooo”
Tasnia ilifurahia sana hatua ya Msanii Diamond kununua private jet kwani ilikuwa ni hatua kubwa kwani ukizingatia tulitoka kujuzwa ana miliki nyumba “126” japo wengine walihoji inakuwaje mtu ana miliki nyumba “126” ande kupanga kwenye nyumba ambayo anaweza kuinunua tena haiwezi kuzidi 1billion”
Wengine walihoji kwanini asiuze nyumba hata 30 halafu aongeze pesa anunue hiyo nyumba anayo ishi sasa ambayo amepanga?
Lakini kibaya zaidi ni kitendo cha tajiri Diamond kushindwa kurudi na private jet yake aliyo inunua hivi karibuni?
Watu wanajiuliza inakuwaje amerudi bila private jet? Nani amemuhujumu?
Nani amezuia kutua kwa hiyo ndege hapa nchini?
Wasalaam